suala la katiba halikuwa kwenye ilani ya chama.
suala la katiba ni ILANI,linapaswa kuwa na muda wake na maandalizi yake hasa kipindi cha uchaguzi.
nani katuweka hapa????,nani katufikisha hapa???,nani awajibike hapa????,nani awajibishwe hapa???
inaniuma sana,kwani mwisho wake nchi inaeenda kumeguka vipande vipande.
Who is our Borris Yelstin????