Nani Kumrithi Kiongozi Mkuu Wa Iran Ayatollah Ali Khamenei? Inasemekana Afya yake sio nzuri

Wewe ni muongo sana eti anamamlaka makubwa dunia hapa wasunni wa salafi wa MBS wanakutizama wanakuona bwege...

Saudi Sunnis and salafism are the source of radical islamism in the world.

Iran sababu alimtimua US, basi wanamchukia. Ila sio shida kama hawa wasaudi. MkaangalieYemen wanafanya nini mtaelewa
 
Hivi unajua unacho kiongea kweli?
Hii makala imeandikwa na shirika la habari la uwingereza BBC kwa hiyo kama ni uongo basi BBC ndio waongo na si mleta mada.
Kama unataka kujiridhisha ingia kwenye mitandao wa BBC utaikuta usome tena wao wamefafanua kwa upana utasoma uelewe.
So jamaa katuletea habar ya vijiwen bbc
 
Ahmedinejad alipozuru Venezuela enzi za Hugo Chavez alikiri kwa kusema tunakomaa lakini tunatumia
Iran, laiti ingebahatika kupata viongozi wenye busara ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Lakini kutokana na kuwa na viongozi wenye misimamo mikali lakini wasio na maono, wamefanya wananchi wao kuteseka kwa karibia karne nzima.

The United States reinstated economic sanctions on Iran after President Donald Trump abandoned a landmark nuclear deal in May 2018.

Mr Trump says he wants to apply "maximum pressure" on the government in Tehran to compel it to renegotiate the accord. But Iran's leaders have remained defiant.

The substantial impact the sanctions have had on the country is clear, and the economic hardship Iranians are facing helped trigger widespread protests in November 2019 that were brutally quashed by the authorities.

The economy has fallen into a deep recession

Iran's economy was badly affected for several years by sanctions imposed by the international community over the country's nuclear programme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siju kwann wananch wa kawaida tunasahaulika kias hik kwenye masuala uchumi
Mimi najiulizaga kuna Umuhimu gani wa Kuwa na Maserikali?

Maana ndo yanaleta Vita duniani na kudhulumu wananchi wake.

mfano, Assume hii Ardhi wote tumeikuta na ni zawadi Ya Mungu lakini Maserikali yasema ni yakwao yanatupangisha tunayapa kodi.

Mwisho wa siku tutaanza kuuziwa hewa
 
Iran, laiti ingebahatika kupata viongozi wenye busara ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Lakini kutokana na kuwa na viongozi wenye misimamo mikali lakini wasio na maono, wamefanya wananchi wao kuteseka kwa karibia karne nzima....
Unaitaji Iran iwe na maendeleo gani zaidi ya iliyo nayo sasa hivi?
 
Uvumi wa hivi karibuni juu ya afya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, umetupa angalizo juu ya nini kitatokea ikiwa atakuwa mgonjwa sana kutawala, au kufa...
Lazima achoke kuondokewa na high level office Ambao alikaa nao nakuzungumza nao nakuwalinda Kwa nguvu zote alafu wakauwawa kama masihara unajifia kupunguza fedhea. Polen Sana Iran.
 
toa huo uchambuzi uchwala iran iwe kama somalia? unaota wew ilishindikana kipindi ina vikwazo kuliko sasa ndio iwe somalia juzi wametangaza mpango wao wa nyuklia wanaendelea iwe jua iwe mvua pia mafuta wao pamoja na korea kaskazini wanauza venezuela na mataifa mengine business ya mafuta wanapiga kama kawa washaamua na mkorea ishikwa meli wao wanazamisha meli ya mmarekani
Bange huwa mnavutia wapi nyie warogwaji?
 
Uvumi wa hivi karibuni juu ya afya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, umetupa angalizo juu ya nini kitatokea ikiwa atakuwa mgonjwa sana kutawala, au kufa....
Ya ngoswe mwachine ngose.

Jamaa huyu naye kakaa madarakani karibu sawa na Museveni, kwani wote walianza miaka hiyo ya 80. Mseveni alianza 1986, na yeye alianza 1989 nafikiri baada Khomein kufariki kabla hukumu yake ya fatwa kwa Salman Rushdie kutekelezwa..
 
Back
Top Bottom