Nani kuchukua ubunge Segerea

Nani kuchukua ubunge Segerea

Joined
Oct 16, 2015
Posts
9
Reaction score
3
Habarini za asubuhi wanaJF, naombeni maoni yenu ni nani atakayeshinda ubunge kati ya Julias Mtatiro CUF, Frank Mwikongi ACTWazalemdo na Bonah Kalua....siku zimebaki chache
 
Habarini za asubuhi wanaJF, naombeni maoni yenu ni nani atakayeshinda ubunge kati ya Julias Mtatiro CUF, Frank Mwikongi ACTWazalemdo na Bonah Kalua....siku zimebaki chache
Huyu mmama naona ana gather momentum, hawa wengine wamevurunda kwa sababu kura zao wameamua wagawane.
 
Kwa nini?
Kuta zake anagawana na wa cuf. PIGO!

Mtatiro ni CUF sio chadema wa chadema kajitoa ila hii contradiction wanayo wengi kudhani mtatiro ni chadema na ukiskiliza viongozi wanasema chagua chadema urais mpaka udiwani. So ni advantage kwa Bonah
 
Wa chadema jina litakuja tu kwenye karatasi ya kura hata kama kajitoa,tume ilishanpitisha
 
7335758372017891113
 
Mtu wa chadema atapata kura nyingi kuliko mtatiro subirini maajabu.

Hapo ndo mkwara wa Ukawa hauna maana.
Chadema wamesimamishaje mgombea Segerea?
Na ndo hao hao waliokuwa wamempiga pini mtatiro hapo mwanzo.
Watagawana kura Cuf, ACT na Chadema afu itakula kwao
 
Back
Top Bottom