Habarini za asubuhi wanaJF, naombeni maoni yenu ni nani atakayeshinda ubunge kati ya Julias Mtatiro CUF, Frank Mwikongi ACTWazalemdo na Bonah Kalua....siku zimebaki chache
Huyu mmama naona ana gather momentum, hawa wengine wamevurunda kwa sababu kura zao wameamua wagawane.
Lakini alikuwa Diwani wa Kata ya Kipawa, naona kama Udiwani hakuutendea haki. Kipawa barabara za mitaa ni kero, wananchi wanajichangisha kutengeneza barabara, alikuwa akiitwa hata kuja kuona kazi inaendaje hakuwahi fika, aidha, maji katika kata ya Kipawa ni kila mtu anajua anavyoyapata. Alifanikiwa tu kuanzisha VICOBA kwa ajli ya kuwakopesha akina Mama, sasa VICOBA hiyo mbona ni biashara yake.Huyu mmama naona ana gather momentum, hawa wengine wamevurunda kwa sababu kura zao wameamua wagawane.
Wa CDM alishajiondoa, Segerea CUF ndo mwakilishi wa UKAWA kwa upande wa Ubunge.Hapo ndo mkwara wa Ukawa hauna maana.
Chadema wamesimamishaje mgombea Segerea?
Na ndo hao hao waliokuwa wamempiga pini mtatiro hapo mwanzo.
Watagawana kura Cuf, ACT na Chadema afu itakula kwao
Kwa nini?
Kuta zake anagawana na wa cuf. PIGO!