Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,355
- 3,091
Habari wana JF?
Nianze kwa kusema naichukia CCM na watu wake, yaani nikisikia neno au sauti inatamka au kusema "CCM" napata kichefuchefu.
Hii chuki yangu ni kwa sababu ya udharimu na unyonyaji ambao CCM imeufanya kwa zaidi ya miaka 40 na inaendela kufanya.
Leo nimeamka nakutana na message wakinitaka nikampigie Samia kura yangu.
Naomba kuuliza hii access ya namba za watu CCM wanatoa wapi?
Na mbona vyama vingine sioni wakituma hizi SMS kama wao?
Where is political fair? Kwenye hii nchi ya kusadikika!!
Hii ni mara yangu ya kwanza kushuhudia mazingaombwe ya aina hii katka uchaguzi Mkuu!