masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,647
- 14,646
Ila mkandarasi kaacha nafasi kati ya majengo mawili, hata baraza haijashikamana. Ila paa tu.
Asante Small Maza, kuna wana JF siyo critical thinkers.Mleta mada anaongelea nguzo ya Tanesco ya kushikiza iko ndani ya nyumba, siyo nafasi kati ya majengo mawili wala baraza kushikamana.