Nani katisha hapa?

Daaah mwafrica katia huruma kweli na swali lake. Ila mwarabu kanichekesha mpaka basi
 
Mwarabu katisha hajui hata opinion ni mdudu gani. Kwao ni iron fist kwenda mbele
 
katisha mwarabu kwamba yeye hata opinnion kwake ni ishu
 
Mbona muuliza swali kashika jambia?
 
Cartoon imewathalilisha waafrica lakini wenye akili ndogo hawashtuki wanatoa mimeno tu.

Akutukanaye hakuchagulii tusi that's racism na dharau kwa waafrica.

Muafrica peke yake ndiye kadhalilishwa hana afya nzuri hana nguo wala hata karatasi na kalamu hana

maana yake yuko uchi mwilini mpaka kichwani hawezi kuyatumia mazingira yake kuondokana na umasikini.

na hao wenzake wanawakilisha races zote duniani ila muafrica pekee ndio yuko tofauti na wenzake.
 
Waafrika ndo hata nguo hatuvai? What a racist cartoon
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…