Mmemponda mond weeee mkahamia kwa harmonize sasa mmehamia kwa laizer......
Huu mkimbize kimbize haujawahi kuwaacha ma hater salama.....
Laizer is a genious,lazima wasafi wawe na id yao.Pia kusema ku sample mnakosea sana.Dunia yote ina bezi kwenye midundo fulani kwa wakati fulani.
Mfano mzuri sikiliza wimbo wa eneka,fall,if kwa mbali na ule wa kina Pquare wa AWAY.Kuna midundo fulani ina emerge hapa africa.
Ama sivyo ndo mana wasanii wenu wana miaka kibao kwenye gemu BADO WAPO VILE VILE.Hawataki kuendana na soko la sasa la muziki.
KIZURI KINAIGWA