Nani kasema unene dili

Hahahaaaa ncheke nnenepeee
 
kwanza nikiwaambia chuo nimemaliza lini ndo wanakataa kabisa......aisee...huu mwili sitauharibu hata nikinenepa kidogo sana......

Mkuu bora tu tubaki hivyo hivyo make wenzetu wana angaika kuupunguza, mimi nime angaika kutafuta kunenepa mpaka nika kata tamaa, nilikuwa nauchukia sana mwili wangu hasa nikivaa suti tai haipindi tumboni, tai inanyooooookaaa mpaka sehemu ya mkanda. ila basi wembamba nao ni kama aibu tu ila hatuna jinsi
 

Nimekuelewa mkuu, kwa maana umeona niko kushoto sasa ninarudi kulia mkuu
 
Loh! Wengine machibonge bonge toka tumboni mwa mama yetu,sijawahi kuwa mwembamba maisha yangu yote,najitahidi lakini wapi!! Siku nikiwa mwembamba ntafanya sherehe,ila nashukuru Mungu am bonge mwepesi.
 
Felix asikudanganye mtu kunenepa siyo ngumu unavyosema,mi nilikuwa kama wewe au mwembamba zaidi ya wewe mpaka naenda madukani na hospital kutafuta dawa ya kunenepa,kuna kipindi nilienda kwenye michezo au gym kunyanyua vyuma ili nijaze mwili,wakaniambia kula kwanza,nikakata tamaa wakati najua nakula vizuri,aaah nikaachana na mambo ya kuwa mwembamba nikaridhika tu,now nimejaza mwili upo kawaida hata kwa mazoezi naweza kutumia vizuri,naanza wasiwasi tena nikizubaa nitanenepa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…