SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
LEO nataka
kuzungumzia shida
wanazopata watu
wenye wake halafu
wanakataliwa eti wake
hawajisikii kufanya
mapenzi kwa kuwa
wana mimba.
Hivi mashosti
niwaulizeni nani
aliwaambia kwamba
mimba ni ugonjwa? Eti
ooh unaweza kuzaa
mtoto kipara? Mhh hiki
kweli kisa cha mkasa
nani kasema watoto
wanaozaliwa vipara
wamesababishwa na
mama zao kuendelea
kufanya mapenzi na
baba zao muda wote
walipokuwepo
tumboni?
Hivi nani hasa
alikuambia kama maji
ya uhai yanaingia
kwenye mfuko ambao
unamtunza mtoto?
Mimi nimekereka sana
na barua inayoonesha
shida ya mwanaume
mmoja kwamba jamaa
yake kamfungia
milango eti kwa kuwa
ana mimba tena ya
kwanza!!!
Hii si ndio nzuri sana,
mtu kupata joto
manake mwanamke
anapokuwa hivi si tu
anapendeza mwili bali
mizania inakuwa
bomba sana, wacha
uchoyo eti
atamuumiza mtoto
kwani unafanya nini
pale kimisionari nini?
Ipo mikao kibao ngoja
sasa nikueleze. Hakuna
wakati mzuri wa
kuonesha mapenzi
kama wakati wa
ujauzito lakini wengi
wetu huwa tunatafsiri
vingine hili suala la
mtu kuwa mjamzito
na majukumu yake ya
kijamii katika paa la
bwana na bibi.
Naam nasema
wanatafsiri vibaya kwa
kuwa ni kweli wakati
wa ujauzito mtu
anatakiwa si tu kuwa
karibu na muhibu
wake bali pia kuwa
karibu naye kwa kila
kitu kinachomhusu
yeye wala hakuna
taabu.
Sasa mimi
nawashangaa watu
ambao wamekuwa
wakiwatolea nje
waume zao miezi
miwili tu baada ya
kukamata himila, sijui
nani kawaambia
kwamba mimba ni
ugonjwa?
Mimi ninachotaka
kusema usitake
kuachwa bila sababu
yoyote ile isiyo ya
maana. Na sababu
yenyewe ambayo
nitaikubali ni mtu
kuwa katika
mapumziko kutokana
na kasoro za mji wake
wa mimba na hii ni
kwa maelezo ya
daktari.
Tafadhali nasisitiza ni
kutokana na
maelekezo ya daktari
vinginevyo, mtu
unafanya ulichokifuata
pale, hukufuata kula
ugali na ubwawa,
ulimfuata mtoto wa
mwanamke
mwenzako.
Ninachotaka kusema
ambacho wewe
hukitaki ni kuwa
mimba ya mtu yeyote
yule haimzuii
kukutana na
mwenzake na kwamba
hilo linawezekana
kama inaonekana kuna
kasoro za wazi za
kisayansi kwa mke na
hili mtu atapewa bed
rest .
Ni kweli kuwa njia za
kufanya mapenzi
lazima ziwe salama na
la maana zaidi ziwe ni
zile ambazo hata
wewe unayepokea
unaridhika kwamba
umeshiriki kikamilifu.
kuzungumzia shida
wanazopata watu
wenye wake halafu
wanakataliwa eti wake
hawajisikii kufanya
mapenzi kwa kuwa
wana mimba.
Hivi mashosti
niwaulizeni nani
aliwaambia kwamba
mimba ni ugonjwa? Eti
ooh unaweza kuzaa
mtoto kipara? Mhh hiki
kweli kisa cha mkasa
nani kasema watoto
wanaozaliwa vipara
wamesababishwa na
mama zao kuendelea
kufanya mapenzi na
baba zao muda wote
walipokuwepo
tumboni?
Hivi nani hasa
alikuambia kama maji
ya uhai yanaingia
kwenye mfuko ambao
unamtunza mtoto?
Mimi nimekereka sana
na barua inayoonesha
shida ya mwanaume
mmoja kwamba jamaa
yake kamfungia
milango eti kwa kuwa
ana mimba tena ya
kwanza!!!
Hii si ndio nzuri sana,
mtu kupata joto
manake mwanamke
anapokuwa hivi si tu
anapendeza mwili bali
mizania inakuwa
bomba sana, wacha
uchoyo eti
atamuumiza mtoto
kwani unafanya nini
pale kimisionari nini?
Ipo mikao kibao ngoja
sasa nikueleze. Hakuna
wakati mzuri wa
kuonesha mapenzi
kama wakati wa
ujauzito lakini wengi
wetu huwa tunatafsiri
vingine hili suala la
mtu kuwa mjamzito
na majukumu yake ya
kijamii katika paa la
bwana na bibi.
Naam nasema
wanatafsiri vibaya kwa
kuwa ni kweli wakati
wa ujauzito mtu
anatakiwa si tu kuwa
karibu na muhibu
wake bali pia kuwa
karibu naye kwa kila
kitu kinachomhusu
yeye wala hakuna
taabu.
Sasa mimi
nawashangaa watu
ambao wamekuwa
wakiwatolea nje
waume zao miezi
miwili tu baada ya
kukamata himila, sijui
nani kawaambia
kwamba mimba ni
ugonjwa?
Mimi ninachotaka
kusema usitake
kuachwa bila sababu
yoyote ile isiyo ya
maana. Na sababu
yenyewe ambayo
nitaikubali ni mtu
kuwa katika
mapumziko kutokana
na kasoro za mji wake
wa mimba na hii ni
kwa maelezo ya
daktari.
Tafadhali nasisitiza ni
kutokana na
maelekezo ya daktari
vinginevyo, mtu
unafanya ulichokifuata
pale, hukufuata kula
ugali na ubwawa,
ulimfuata mtoto wa
mwanamke
mwenzako.
Ninachotaka kusema
ambacho wewe
hukitaki ni kuwa
mimba ya mtu yeyote
yule haimzuii
kukutana na
mwenzake na kwamba
hilo linawezekana
kama inaonekana kuna
kasoro za wazi za
kisayansi kwa mke na
hili mtu atapewa bed
rest .
Ni kweli kuwa njia za
kufanya mapenzi
lazima ziwe salama na
la maana zaidi ziwe ni
zile ambazo hata
wewe unayepokea
unaridhika kwamba
umeshiriki kikamilifu.