mastersajenti
Senior Member
- Dec 4, 2015
- 165
- 24
Mkuu wa mkoa anamwomba Manji awaruhusu wananchi kuingia eneo la coco beach! Haya bana mimi iko tuu naagalia, Hii mindi naona sisi tumbili tuu kuva ye iko pesa sio. haya bana sisi nagojea tu pana fikri sisi. Mkuu ya koa, kamata ote veka dani banaa sisi taona nani weza tova yeye.
Halafu, cha kusikitisha ni kuwa, wanao wakimbiza wananchi pale ni wamatumbi wenzao. Shame on yu
I wonder where does he get such a power
Swali zuri sana, nani kamuuzie fukwe manji???
Tungeanzia hapo ingependeza
Inakuwaje manispaa ya kinondoni wamuuzie,Manispaa ya kinondoni? Ilikuwaje manispaa ya kinondoni ikaafiki Manji auziwe eneo la wazi? Kwa vile alikuwa backedup na nguvu ya mshenga. Huyo mshenga aliyewakutanisha Manji na manispaa ni nani?
Watanzania wenzangu wakati umefika sasa wakusema basi Kwa baadhi ya viongozi wetu wanaojifanya wanatoa maamuzi Kwa niaba ya serikali kumbe in Kwa faida yao binafsi.Inashangaza Leo Mkuu Wa Mkoa eti anamsihi Manji aachie eneo la COCO BEACH Kwa ajili ya wananchi.Kwani ni nani aliyemwuzia Manji? Je huyo aliyeuza hakujua kuwa kuna wananchi? Ni dhahiri uongozi Wa mkoa haukuhusishwa .Kuna wakati watendaji Wa Wizara ya Ardhi waliuza eneo la Mnazi Mmoja Kwa mfanya biashara aitwae Bagdadi lakini Aliyekuwa Waziri Wa Ardhi Mh.Lowassa alizuia biashara hiyo Na wahusika wote akiwemo Na Bagdadi mwenyewe walifikishwa mahakamani Na kuhukumiwa vifungo.Wakati umefika Wa Mkuu Wa Mkoa sio kumwomba Manji ila kutengua mikataba yote Na wahusika wote wafikishwe mahakamani.Wahusika wamefanya biashara Na Manji.Kauli mbiu yetu ni HAPA KAZI TUU
nasikia na albadili alisomewa holaa. Jamaa mgumu!Alinunua eneo lililotengwa kwa ajili ya msikiti keko..shehk Ponda kalipigania hadi kasota jela..huyo Manji kaweka kitengo mfukoni anatembea na maamuzi yao pia..
Manji naona atauziwa na ikulu, huku zanzibar hivi karibuni kauziwa eneo la bwawani malindi, eneo ambalo ni la wazi.
Hapo awali tuliona project ya serikali kuwa eneo hilo la bwawani kutajengwa mall na park, sasa hivi ccm washauza ili wapate pesa za kurudia uchaguzi na campaign