OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 51,974
- 114,281
Katika habari ya ITV mkuu wa Wilaya ya Mkalama anayekaimu ukuu wa wilaya Iramba amewasimamisha kazi watumishi 6 ikiwepo DMO ,aliyekuwa DMO wa Iramba aliyehamishwa,mratibu wa CHF,na katibu wa Afya kwa upotevu wa fedha za CHF.
Sina comments kwa sababu zilizowafanya wasimamishwe,hoja yangu ni mamlaka zinazompa DC uwezo wa kusimamisha mtumishi wa halmashauri hata yule aliyehama.
Sioni popote kama DC kapewa mamlaka hayo.Mbali na TAMISEMI ni RAS na Madiwani ndio wamepewa mamlaka ya kusimamisha kazi mtumishi.
Katika awamu ya Magufuli tunashuhudia mwingiliano wa kiutendaji.
Naungana na Mh.Sugu kwamba wateule hawa hawajapewa job description na hawajui wafanye nini.