Nani kamnyamazisha Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Mzee Lyatonga?

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,056
10,721
Mzee alianza kwa mbwembwe sana, Mara ziara, Mara matamko, mara kutaka kwenda Ikulu kushauriana na Rais, ghafla hasikiki tena wala harakati zake hazionekani.

Kulikoni Augustine Lytonga?
 
Mzee alianza kwa mbwembwe sana, Mara ziara, Mara matamko, mara kutaka kwenda Ikulu kushauriana na Rais, ghafla hasikiki tena wala harakati zake hazionekani.

Kulikoni Augustine Lytonga?
Acha kiherehere na UNAA.
 
Mrema kabakia kuwa kichekesho cha taifa.mimi naona siku ya msiba wake makomedian wote wahudhurie
Your soo ignorant yani umemdharau kiasi hicho mtu kama Mh. Augustine Lyatonga Mrema unaijua impact yake kwa Taifa?...kwa taarifa yako hadhi aliyonayo Lowassa sasa hata Mrema alishawahi kuwa nayo kipindi anagombea na Mkapa...
[HASHTAG]Respect your elders![/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom