Hakika Nimeamini mwana FA ni kiboko ya njia!kwamba anakubalika na watu wastaarabu na wenye hekima!ndo maana kama mliokuwepo mliona wote waliokuwepo ni watu wenye hadhi ya kimataifa,watu wasiopenda kujisifia,kitu kizuri jamani hujiuza!kibaya hujitembeza!tukija kwenye kiingilio utakubalana name kwamba ulilenga watu waliostaarabika na wasiopenda kubwabwaja ovyo ndo maana hata mtu mzima FA tangia alipochafuliwa jina lake hujaona akijibu kwa namna yoyote ile!Big up BINAMU! ......Team BINAMU hakuna kuwajibu wasiojua maana maana hawaambiwi maana!mjadala umefungwa na mshindi ni MWANA FA! mana ameonyesha ukomavu na BUSARA kwa kutomjibu bibi yetu!
Ha mbona watu wachache na kama wamelazimishwa kuingia?. Huyo wa mbele kabisa anaandika sms! Hata wakati kipindi ni kibaya kuliko vyote chuoni tulikuwa hatuingii wachache namna hii.Mwana FA akiwa lecture room makumbusho jana usiku akielezea kuhusu rasimu ya katiba.
Hakika Nimeamini mwana FA ni kiboko ya njia!kwamba anakubalika na watu wastaarabu na wenye hekima!ndo maana kama mliokuwepo mliona wote waliokuwepo ni watu wenye hadhi ya kimataifa,watu wasiopenda kujisifia,kitu kizuri jamani hujiuza!kibaya hujitembeza!tukija kwenye kiingilio utakubalana name kwamba ulilenga watu waliostaarabika na wasiopenda kubwabwaja ovyo ndo maana hata mtu mzima FA tangia alipochafuliwa jina lake hujaona akijibu kwa namna yoyote ile!Big up BINAMU! ......Team BINAMU hakuna kuwajibu wasiojua maana maana hawaambiwi maana!mjadala umefungwa na mshindi ni MWANA FA! mana ameonyesha ukomavu na BUSARA kwa kutomjibu bibi yetu!
acha unafiki wewe, unaweza vp kulinganisha Jide na FA? Angalia Jide ana albam ngapi, utajiri kiasi gani? influence gani kwa jamii (balazi wa fistula). Pia ni mwanamuziki bora wa kike TZ kwa mwaka huu.
FA anatumiwa na hajui kama anajiharibia sana kwa hilo maana yeye pia ni msanii angesimama upande wa wasanii wenzake na sio kutumiwa kwa maslai ya watu, natabiri huu ndio mwisho wake utaona tu. Hana u-classic wowote maana jana ilikuwa ni kudhihirishiana kuwa upande upi una nguvu na mwisho wa siku Jide amewapotezelea mbali
MwanaFA kwa Jide bado sana na hata wangesimamisha THT yote wasingeweza kumfunika Jide
mbona kama msiba wamepooza sanaMwana FA akiwa lecture room makumbusho jana usiku akielezea kuhusu rasimu ya katiba.
acha uongo maneno yako tu yanaonyesha ni kwamba hukuwepo ila ni ushabiki tu.sasa kama ni ivyo si ungeenda kwa bibi mkora tu.au ndo kiingilio hukuwa nacho?mbona halafu nyie mpo ivi?mnaongea saaaaaana!kazi kweli.we unafananisha show ya binamu na ya bibi.iliyojaa watu wa kila aina?mpaka nashindwa kuelewa ivi mgesechiwa na kuibiwa mngemlaumu nani?siku ingine angalau toeni nuksi kwa kwenda sehemu zenye hadhi!heloo, mimi jana nilikuwepo kwenye hiyo show ya fa, kilichonifanya niingie hasa kwa sababu show ilifanyika karibu na makazi yangu, tuache uongo show ilipooza mno. Ni bora ningekwenda zangu kwenye mkesha kule kanisani ningecheza hata mapambio!