ni kweli kabisa mdauShukrani za dhati ziwaendee wamama wote kwa malezi yao na hata kukubali kutuzaa na kutulea maana wanaotoa mimba ni wengi sn.
Kuna kina mama wengi wamelea watoto wao kwa shida sn lkn hawakukata tamaa. Mungu awabariki sn kina mama.
Malezi ya mama, elimu ya mama haina ada wala cheti, ila ni zaidi ya elimu ya chuo kikuu
1.Nikikumbuka zamani nilipokuwa mtoto nikilia usiku mama lazima utakesha na mimi
Huwezi kukubali niwe macho usiku, wewe ufumbe macho yako
Mapenzi ya maamaaa, kwa mtoto wake, haina mfano
Hata mapenzi ya boyfriend na girlfriend hayafiki hata robo
2.Nikikumbuka zamani nilipokuwa mtoto nikiumwa usiku lazima utakesha na mimi
Mola wasaidie, wakina mama wote, uwape maisha marefu
Nani kama maama, mama yeah mamaa yeye
Thamani ya malezi yako siwezi kuyalipa, mama mamayeee
Huu ni wimbo wa christian Bella, umenigusa sana wadau MMU!
TUMIA FURSA HII KUSEMA ASANTE KWA MAMA YAKO
point kubwa uliyoongelea hapo ni kukesha na wewe na hii inatokana kuwa unampigia kelele kama hujalala ndo maana na yeye anakosa usingizi ili alale kwa utulivu bila kelele zako lazima ahakikishe wewe umelala fofofo!!!
2.swala la kusema ukiumwa anakesha na wewe hii ni kawaida labda uwe hujawahi kulala na mgonjwa hospital lazima uwe macho!!!
ni mchango tu!
una mtoto kweli wewe?point kubwa uliyoongelea hapo ni kukesha na wewe na hii inatokana kuwa unampigia kelele kama hujalala ndo maana na yeye anakosa usingizi ili alale kwa utulivu bila kelele zako lazima ahakikishe wewe umelala fofofo!!!
2.swala la kusema ukiumwa anakesha na wewe hii ni kawaida labda uwe hujawahi kulala na mgonjwa hospital lazima uwe macho!!!
ni mchango tu!
Asante mama kokote ulipo ujue bado nakupenda.......japo umetangulia mbele ya hakii
Loh teheeeee...! Mkuu naomba kuuliza una mtoto?