Nani kama mama

Huu mchezo tunafanya sana, lakini si kwa kuzibua jamani, ni kulambalamba tu kwa hapo juu....loh! Hakuna kama mama.
 
Aise mambo ya kula uharo tena
Kama mtoto hapati choo lazima ufanye njia tofauti ili aweze kupata choo......na wakati mwingine kama anamafua unamfyonza kwa mdomo ili aweze kupumua..........HAKUNA KAMA MAMA AISEE.
 
kwakweli hakuna wakufanana na mama jamani, najivunia kuzaliwa mwanamke ahsante Mungu
 
mama ur the QUEEN of ma heart, yaan kuna ile kunyonya kamasi chachaaa
 
Aise mambo ya kula uharo tena

tatizo nini?? mbona akina dada wananyonywa tiGo na wanakatikia mazee??

Huyo mama kwenye picha ni mfano wa vitu gani mama zetu wanapitia kuhakikisha tunafika hapa tulipo... hakuna kama mama
 
Kama mtoto hapati choo lazima ufanye njia tofauti ili aweze kupata choo......na wakati mwingine kama anamafua unamfyonza kwa mdomo ili aweze kupumua..........HAKUNA KAMA MAMA AISEE.
Ikitokea na mtoto mkubwa amepata matatizo kama hayo unaweza kumfanyia tiba mbadala kama hiyo?
 
Wanawake wa Dijitali hawawezi hiyo, wao wanajua kuchana mashairi kwenye maiki za watoto wakubwa tu.
 
mama ur the QUEEN of ma heart, yaan kuna ile kunyonya kamasi chachaaa

umeniwahi!!! naogopaje!!! but you will just do it!! you cant just sit there and see you child suffering.....and do nothing!!!
 
sio wote weweeeeee........ukiwa maza everything changes!!!

Tunakutana na wangapi mitaani hata kumshika mtoto mkono hataki atampunguzia soko, utakuta yeye anatangulia mbele katoto kako nyuma matokeo yake wanakoswakoswa na magari.

Kibaya zaidi mtoto akikoswa koswa kugongwa mama anamshushia matusi mwanaye eti mtoto gani mzembe nitakubutua mimi.
 

yeeeeeeeeeeee...hapo umenigusa sana mkuu!!! sidhani kama hao mimba zilipangwa!!!! ndo zile zinazoitwa za "bahati mbaya" wakati wa kufanya sijui walitegemea nini..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…