Nani kama mama wa kitanzania?

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
Tunawapenda sana! Nyinyi mnastahili heshima sana! Tuombeeni mema, tutafanya kazi kwa bidii ili tuwasaidie kwa hali na mali. Mmefanya mliloweza leo hii tunaishi. Heshima kwenu milele!

t
 
Tunawapenda sana! Nyinyi mnastahili heshima sana! Tuombeeni mema, tutafanya kazi kwa bidii ili tuwasaidie kwa hali na mali. Mmefanya mliloweza leo hii tunaishi. Heshima kwenu milele!

t

Poleni mama zetu lakini CCM wanafisadi pesa ambayo zingeliweza kuwajengea hospital na huduma za kutosha-vitanda etc lakini zinakwenda kwenye bunge la katiba ya kipuuzi. LAKINI na nyinyi mna makosa, CCM inapata kura kutoka kwenu, ngoja mkipate cha moto! Sasa nimewageuka!!!
 

Usiwahukumu kwa wasilolijua, jaribu kuwaelimisha taratibu, usitumie hasira. Wao ni watu innocent sana, wanaamini kila neno wanaloambiwa. Wema wao ndio unawaponza.
 
Jamani hii ni jamii photos.sasa hizo photos za akina mama wa ki-TZ mbona hujazipost? Badala yake umpost maneno tu . siyo sawa.
 
Hawa wamama ndo wapigaji kura wazuri kwa ccm,na sasa hivi dawa ndo hakuna kwa hospital ila akina nape wao wanatibiwa APOLOOOOOO
MSALANI
Ritz
MwanaDiwani
ifweero
KIKWETE
 
Last edited by a moderator:

Usiwahukumu kwa wasilolijua, jaribu kuwaelimisha taratibu, usitumie hasira. Wao ni watu innocent sana, wanaamini kila neno wanaloambiwa. Wema wao ndio unawaponza.
Kweli nimebadilisha kauli masikini hawajui lolote. Wanakubali kila kitu maana uelewa wao ni mdogo. Pole salamander!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…