mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,693
safi sana, kwa kweli anajitahidi kinondoni inachangamoto nyingi sana, huyu meya wa ukawa ndio mzigo tangu achaguliwe hamna la maana. lipo jinga lingine kubenea lenyewe kumsakama tu ila dawa ya lenyewe imeshachemka bado kulinywesha.Ameonyesha uongozi kwa vitendo.. Ni mtendaji.
Ni mbunifu sana. Hasubiri maagizo ya wakubwa au kusukumwa muda wote anawaza ni namna gani anaibadilisha Kinondoni.
Sio mtu wa visingizio ni mtoa majawabu. Yale mambo ya bajeti haitoshi, mchakato unaendelea, tusubiri iki tusubirie kile. Kwake si vitu vya kuendekeza.
Kiukweli ana kutana na upinzani wa hali juu kutoka kwa wakawa na watu wa mlengo huo lakini hajawai kurudi nyuma.
Kinondoni kuna upungufu wa shule akaja na wazo la kujenga shule mpya 7 za kata kwa kudunduliza (kuna mpumbavu mmoja alikuja na hoja eti aonyeshwe mifuko ya cement ipo wapi eti anaiba cement)
Kinondoni kuna migogoro mingi ya ardhi, alikuja na system ya kusikiliza malalamiko yote ya ardhi na wengi sana wamenufaika na hii operation zimebaki kesi za kisheria ila amesuluisha mengi ( Sumaye ni shaidi kasaidiwa sana)
Amekuja na operation ya kucheki afya kwa wana kinondoni bure.
Amekuja na idea ya walimu kupanda mabasi bure ili kuwapunguzia mzigo wa maisha . Amekuja na hii idea sababu ndio kitu kilicho kwenye uwezo wake wa kimamlaka na kiushawishi.
Amekuja na idea ya kuondoa bar za vichochoroni kwenye majumba ya watu anashawishi kuwe na mtaa maalum wa kumbi za starehe. Hii itasaidia sana kuondoa kero zisizo za lazima kwa raia.
Na bado halali anawaza kila siku aifanyie nini Kinondoni.
Kiukweli kuna wanasiasa wazuri sana wa kupiga domo lakini vitendo ni sufuri. Wananchi sasa tunataka kuona watu wanaofanya kazi sio walalamikaji. Ata kama unafanya kidogo tunaappreciate kuliko kuhubiri unaleta pepo lakin ukipewa jimbo ni kulaumu serikali kuna mambo hayaitaji bajeti ya serikali ni uthubutu.
Mawaziri wa Magufuli mtazameni Makonda kwa makini wengi amewafunika japo mna rungu kubwa mnashindwa kulitumia . Tunataka vitendo vyenye tija.
Wabunge wa upinzani na madiwani msimchukulie Makonda kwa jicho hasi anazidi kuwapoteza. Fanyeni kazi tuone sio kulaumu tu.
Big up pia kwa Zitto naona nae ameanza siasa za utendaji. Kazi yake inaonekana Kigoma Ujijji.
Makonda tukimchukulia positive ana mengi ya kutufunza. Tunajua awezi kukosa mapungufu.
Aombe kwanza msamaha wa kumpiga ngwala Mzee Warioba
Huwezi kudhalilisha wazee ukasamehewa hata uzikiri uchi. Aombe msamaha haraka, asifikiri Magu ni sawa na Mzee wa Msoga ataonja wa chuya kesho tu na watu watamchekaKwa anayofanya Kinondoni yanafuta ata makosa ya nyuma kama yapo. Wananchi wanatazama wanahesabu kila kitu, anayefanya kazi na anayepiga domo.
Baada ya kujua kwamba kuna watu wanalipwa kuwasifia hawa wanasiasa, nikiona mtu anasifia inabidi nikae zangu kimya tu.
Hard work pays. Kazi yake tu hakuna mtonyo wowote. Sio kila mtu analipwa kama nyinyi.Jamaa kakuahid shilling ngap....
Makonda na mzee Kigogo wapo poa na ni marafiki. Najua mlitamani wawe maadui ili mfurahi.Huwezi kudhalilisha wazee ukasamehewa hata uzikiri uchi. Aombe msamaha haraka, asifikiri Magu ni sawa na Mzee wa Msoga ataonja wa chuya kesho tu na watu watamcheka
Nikweli kabisa anafaa kama hatafuti kickAmeonyesha uongozi kwa vitendo.. Ni mtendaji.
Ni mbunifu sana. Hasubiri maagizo ya wakubwa au kusukumwa muda wote anawaza ni namna gani anaibadilisha Kinondoni.
Sio mtu wa visingizio ni mtoa majawabu. Yale mambo ya bajeti haitoshi, mchakato unaendelea, tusubiri iki tusubirie kile. Kwake si vitu vya kuendekeza.
Kiukweli ana kutana na upinzani wa hali juu kutoka kwa wakawa na watu wa mlengo huo lakini hajawai kurudi nyuma.
Kinondoni kuna upungufu wa shule akaja na wazo la kujenga shule mpya 7 za kata kwa kudunduliza (kuna mpumbavu mmoja alikuja na hoja eti aonyeshwe mifuko ya cement ipo wapi eti anaiba cement)
Kinondoni kuna migogoro mingi ya ardhi, alikuja na system ya kusikiliza malalamiko yote ya ardhi na wengi sana wamenufaika na hii operation zimebaki kesi za kisheria ila amesuluisha mengi ( Sumaye ni shaidi kasaidiwa sana)
Amekuja na operation ya kucheki afya kwa wana kinondoni bure.
Amekuja na idea ya walimu kupanda mabasi bure ili kuwapunguzia mzigo wa maisha . Amekuja na hii idea sababu ndio kitu kilicho kwenye uwezo wake wa kimamlaka na kiushawishi.
Amekuja na idea ya kuondoa bar za vichochoroni kwenye majumba ya watu anashawishi kuwe na mtaa maalum wa kumbi za starehe. Hii itasaidia sana kuondoa kero zisizo za lazima kwa raia.
Na bado halali anawaza kila siku aifanyie nini Kinondoni.
Kiukweli kuna wanasiasa wazuri sana wa kupiga domo lakini vitendo ni sufuri. Wananchi sasa tunataka kuona watu wanaofanya kazi sio walalamikaji. Ata kama unafanya kidogo tunaappreciate kuliko kuhubiri unaleta pepo lakin ukipewa jimbo ni kulaumu serikali kuna mambo hayaitaji bajeti ya serikali ni uthubutu.
Mawaziri wa Magufuli mtazameni Makonda kwa makini wengi amewafunika japo mna rungu kubwa mnashindwa kulitumia . Tunataka vitendo vyenye tija.
Wabunge wa upinzani na madiwani msimchukulie Makonda kwa jicho hasi anazidi kuwapoteza. Fanyeni kazi tuone sio kulaumu tu.
Big up pia kwa Zitto naona nae ameanza siasa za utendaji. Kazi yake inaonekana Kigoma Ujijji.
Makonda tukimchukulia positive ana mengi ya kutufunza. Tunajua awezi kukosa mapungufu.
siamini muda wako wote huo umeumaliza bure kwa kumsifia mtu ambaye jamii kwa ujumla inamuona ni mtu wa majivuno yani ukuu wa wilaya kwake ufalme....Hard work pays. Kazi yake tu hakuna mtonyo wowote. Sio kila mtu analipwa kama nyinyi.
Hukuona jana Dr Shein kaenda kumjulia hali Maalim Sifu? Hivi unadhani mambo ni sawa? Siasa ndivyo zilivyo. Lakini ndugu yangu usijiaminishe kama upo katika moyo wa mtendwa. Aidha usisahau kuwa Mzee Warioba ni kiongozi yeye anasamehe je wafuasi wake unadhani tumesahau? Mshauri bwa mdogo aombe hadharani msamahaMakonda na mzee Kigogo wapo poa na ni marafiki. Najua mlitamani wawe maadui ili mfurahi.
siamini muda wako wote huo umeumaliza bure kwa kumsifia mtu ambaye jamii kwa ujumla inamuona ni mtu wa majivuno yani ukuu wa wilaya kwake ufalme....
Mkuu na wewe unalipwa kutukana? Tufanye kazi hakuna namna siasa za mteremko zama hizi ni ngumu. Kutegemea mdomo kama ndio nyenzo ya kisiasa kumeshapitwa na wakati mtabaki kulaumu watu wako busy na kazi.