vipi amekwisha patana na baba yake???
Go go go go platnumz raiiiiiiiiis!!!!!
go go go go platnumz raiiiiiiiiis wa wasafi!!!!!
watakubali 2
diamond ni international kuna wasanii wa nigeria kama kina iyanya kufikisha views hao m1 kwa 1week hawajawahi na ustar wote. Davido ft uhuru ad sahv ina views m2 na ina miezi kama 6 hiv. Diamond in 12days 1m sio kitu kidogo hiki. Jamaa anatizamwa na africa nzima
wasafi president anapendwa humu kenya kuliko huko kwao t.z.,nawaomba t,z mpeeni huyu kijana mkono,,,
Christian bella alishanyoosha mikono kwa Diamond.Diamond ni international kuna wasanii wa Nigeria kama kina Iyanya kufikisha views hao m1 kwa 1week hawajawahi na ustar wote. Davido ft Uhuru ad sahv ina views M2 na ina miezi kama 6 hiv. Diamond in 12days 1M sio kitu kidogo hiki. Jamaa anatizamwa na africa nzima