mam,hivi wewe unacheza na utajiri wa bishanga?
Hii lugha wanayoielewa ni wachache sana shem.........mmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
shemeji huna kabisa ni cha wote.
nipe nakala za talaka za wale wake wenzangu kama sita hivi.
ohoo! I am smelling something fishy. Let me think until i sink... Ipo kitu hapa. Asprin busara zako zinahitajika hapa kwa kuwa ww una maeksipiriense..
are you siriazi bishanga? Hau kam unatongoza ur x? Mtalaka hatongozwi bana.
arushaone kwa kuwa unaonyesha kutokuonyesha nia itabidi nikueleze ukweli.