Nani kama baba

Si mara zote kuna yule aliye lupango kwa kuwalawiti wanae wawili wa kiume mmoja akiwa na umri wa miezi 14 tuu

Kuna yule aliye wachinja wanae kisa mke wake amechepuka.

Kuna yule amegoma kulipa ada bila sababu yoyote

Kuna yule nyumbani kakausha huduma kisa kimada


Ila yupo aliyekubali kupigwa risasi badala ya mwanae, yupo aliyekubali alale njaa ili mwanae ale
 

Mwisho wa yote ni roho ya mtu ndio iliyobeba siri kubwa
 
Amen Amen. Nampenda baba yangu kama mama( RIP) yangu. Wachache wanaoharibu taswira za kina baba! Aidha mengine ni mgawanyiko wa majukumu!
Peace be upon them..
Baba anakuwaga Hero na Bingwa wa kila kitu !!!
 
Kasikilize mashairi na wimbo wa Shaggy strength of a woman na wa Bob no woman no cry. Utajua utofauti wa love ya mama na baba!

Acha mchezo na mtu ambae mmeshare nae kitovu na pumzi moja kwa miezi tisa bhaana.

Baba ni msanii tu kama wasanii wengine woote.
 
Hata wanawake wapo; Kuna yule aliyemkatakata na kisu sehemu za siri mwanae baada ya kupoteza sh 1,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…