GE2025 Nani kaliwa kichwa huko CCM?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Naomba kujua kuhusu Muhindi mmoja anaitwa Mansoor mbunge wa vitendo Kwimba yu salama?
 
Tayari nasikia hawa kwisha habari yao!
 

Attachments

  • 2606209d-d42e-4210-ba6a-da0990dfd8b0.jpeg
    109.2 KB · Views: 14
  • e872a2ac-5947-4fb4-8b76-2329f41dd568.jpeg
    82.6 KB · Views: 16
  • 768dd8f9-b70e-43cf-9b4f-e98b84d62ffa.jpeg
    103.9 KB · Views: 17
Tunataka wabunge wapya wanaoweza kuendana na kasi ya Rais Samia. Wenye mawazo ya kutafuta vyeo hawana nafasi. Tunataka wabunge wachapakazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…