Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Nov 20, 2011 #21 Sele Mkonje said: hawakutoka nje ila walinusana then akagundulika kuwa ni Adam Click to expand... Dah! Kweli noma,nasikia ulikuwa na harufu ya yai viza. Nalog off
Sele Mkonje said: hawakutoka nje ila walinusana then akagundulika kuwa ni Adam Click to expand... Dah! Kweli noma,nasikia ulikuwa na harufu ya yai viza. Nalog off
O oldonyo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 549 Reaction score 86 Nov 20, 2011 #22 Kujamba sikupunguza uzito au kuna tatizo sasa mnamshangaa adam mchovu je angekuwa mkuu wa kaya anaejamba magogoni.
Kujamba sikupunguza uzito au kuna tatizo sasa mnamshangaa adam mchovu je angekuwa mkuu wa kaya anaejamba magogoni.
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,653 Nov 20, 2011 #23 lukindo said: nimesikia waziri Dr. Shukuru Kawambwa akiisifia redio hii sana jana asubuhi kutoka Dodoma!!!! Click to expand... aondoke na ujinga wake wa kugombania wanawake seaxliff, na kuwaita polisi mbwa na mwema eti ndo mmiliki wa mbwa
lukindo said: nimesikia waziri Dr. Shukuru Kawambwa akiisifia redio hii sana jana asubuhi kutoka Dodoma!!!! Click to expand... aondoke na ujinga wake wa kugombania wanawake seaxliff, na kuwaita polisi mbwa na mwema eti ndo mmiliki wa mbwa
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Nov 20, 2011 #24 oldonyo said: Kujamba sikupunguza uzito au kuna tatizo sasa mnamshangaa adam mchovu je angekuwa mkuu wa kaya anaejamba magogoni. Click to expand... Kujamba ni kupunguza uzito?? Hii ndio kwanza naisikia.
oldonyo said: Kujamba sikupunguza uzito au kuna tatizo sasa mnamshangaa adam mchovu je angekuwa mkuu wa kaya anaejamba magogoni. Click to expand... Kujamba ni kupunguza uzito?? Hii ndio kwanza naisikia.
I Iguguno Member Joined Nov 13, 2011 Posts 25 Reaction score 2 Nov 20, 2011 #25 lukindo said: nimesikia waziri Dr. Shukuru Kawambwa akiisifia redio hii sana jana asubuhi kutoka Dodoma!!!! Click to expand... atakuwa anamtindio wa ubongo
lukindo said: nimesikia waziri Dr. Shukuru Kawambwa akiisifia redio hii sana jana asubuhi kutoka Dodoma!!!! Click to expand... atakuwa anamtindio wa ubongo
Vinci JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 2,637 Reaction score 675 Nov 20, 2011 #26 Sugu aliwaambia hili......mixtape vol 1 Shine said: Redio ya wafuuu Click to expand...