Nani Kafunika Zaidi

Ni vitu gani vilikua vinatakiwa kufunikwa mkuu? I hope umesahau kuvipiga picha
 
Bila kudadavua kilochomaanishwa nyuma ya pazia... kwa sura mama wa tatu kutoka kulia amefunika.
Kwa shepu, wa kwanza upande wa kulia amefunika.

Mengine nawaachia muendelee kudadavua.
swadaktaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…