Fred Mwakitundu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 227
- 382
Vipeperushi vyote viwili viwekwe hapa tujadili usiisingizie serikali
Sijaona icho kipeperushi cha shoo
Umetumwa na serikali kuchafua watu wasio wakabila wenye ukabila wamesharusha kipeperushi na wamekaa kimya baada ya kutambulika.Askofu Gwajima na Usukuma
Askofu Shoo na Uchagga
Tarehe 3.3.2020 Viongozi wa dini wawili hapa nchini wamekata mawimbi ya anga kwa jambo linalofanana.
Askofu Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima lililopo Dar es salaam, alihojiwa na polisi kwa kusambaza vipeperushi vyenye lugha ya kisukuma akiwahamasisha wajitambue na kusaidiana, alitumia picha ya Mhe.Rais ili kuwahamasisha waungane na kuunda chombo madhubuti.
Huko Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 3.3.2020 Askofu Shoo wa KKKT alikutana na wachungaji wake wapatao 200 na kuwaambia serikali ya awamu ya tano na baadhi ya maaskofu wanawaonea wivu wachagga .
Akasema wachagga wamefanikiwa sana kusababisha waonewe wivu au kuonewa na akawataka waungane na kusaidiana na kulinda Dayosisi yao, bahati mbaya Askofu Shoo hajahojiwa na polisi kama Gwajima.
Kuwabagua wachagga au wasukuma ni kosa kubwa, lakini na wao kujibagua na kujiona bora kuliko makabila mengine ni kosa kubwa zaidi.
Watanzania tujiulize nani kafufua ukabila tena nchini mwetu?
Unafikiri vipeperushi ndio tukio la kwanza? Unaishi wapi, au huuoni ukabila wa rais?Vipeperushi vyote viwili viwekwe hapa tujadili usiisingizie serikali
Askofu Gwajima na Usukuma
Askofu Shoo na Uchagga
Tarehe 3.3.2020 Viongozi wa dini wawili hapa nchini wamekata mawimbi ya anga kwa jambo linalofanana.
Askofu Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima lililopo Dar es salaam, alihojiwa na polisi kwa kusambaza vipeperushi vyenye lugha ya kisukuma akiwahamasisha wajitambue na kusaidiana, alitumia picha ya Mhe.Rais ili kuwahamasisha waungane na kuunda chombo madhubuti.
Huko Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 3.3.2020 Askofu Shoo wa KKKT alikutana na wachungaji wake wapatao 200 na kuwaambia serikali ya awamu ya tano na baadhi ya maaskofu wanawaonea wivu wachagga .
Akasema wachagga wamefanikiwa sana kusababisha waonewe wivu au kuonewa na akawataka waungane na kusaidiana na kulinda Dayosisi yao, bahati mbaya Askofu Shoo hajahojiwa na polisi kama Gwajima.
Kuwabagua wachagga au wasukuma ni kosa kubwa, lakini na wao kujibagua na kujiona bora kuliko makabila mengine ni kosa kubwa zaidi.
Watanzania tujiulize nani kafufua ukabila tena nchini mwetu?
Hapa mkuu nadhani unaongelea mambo ya kisheria zaidi.Askofu Gwajima na Usukuma

Maendeleo ndio yanachochea ukabila ukiona maendeleo yanaelekezwa eneo moja jua ukabila ushatangulia.Askofu Gwajima na Usukuma
Askofu Shoo na Uchagga
Tarehe 3.3.2020 Viongozi wa dini wawili hapa nchini wamekata mawimbi ya anga kwa jambo linalofanana.
Askofu Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima lililopo Dar es salaam, alihojiwa na polisi kwa kusambaza vipeperushi vyenye lugha ya kisukuma akiwahamasisha wajitambue na kusaidiana, alitumia picha ya Mhe.Rais ili kuwahamasisha waungane na kuunda chombo madhubuti.
Huko Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 3.3.2020 Askofu Shoo wa KKKT alikutana na wachungaji wake wapatao 200 na kuwaambia serikali ya awamu ya tano na baadhi ya maaskofu wanawaonea wivu wachagga .
Akasema wachagga wamefanikiwa sana kusababisha waonewe wivu au kuonewa na akawataka waungane na kusaidiana na kulinda Dayosisi yao, bahati mbaya Askofu Shoo hajahojiwa na polisi kama Gwajima.
Kuwabagua wachagga au wasukuma ni kosa kubwa, lakini na wao kujibagua na kujiona bora kuliko makabila mengine ni kosa kubwa zaidi.
Watanzania tujiulize nani kafufua ukabila tena nchini mwetu?
Mie nachukia mtu anayetoa jibu katika mfumo wa swali!Askofu Gwajima na Usukuma