Uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliotangazwa leo na Waziri Mkuu Pinda kwa mara nyingine unaturejesha kwenye swali ambalo huulizwa na watu wengi,kwamba ni NANI HAO WALIO WASHAURI WA RAIS KIKWETE?
Inawezekanaje Rais wa nchi akose umakini mkubwa kiasi hiki hata amteue Paul Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya?Kwa kauli na mwenendo,Paul Makonda anakosa sifa na uadilifu wa kuwa mteule wa Rais;hana uadilifu wa kukalia ofisi yoyote ya umma aghalabu ofisi ya DC. Hana tofauti na Mrisho Gambo aliyeondolewa,hawa ni vijana wenye majivuno na walevi wa madaraka.Ndivyo alivyo pia Nape Nnauye...lakini hawa eti ndo JK anaona ni watu wenye sifa za kuwa wateule wa Rais?hakika hawa wana sifa za kuwa wateule wa Kikwete,hawana sifa za kuwa wateule wa Rais wa nchi.
Mungu atusaidie hii miezi 7 iliyobaki iishe haraka.
Labda mkewe...
.....ndiyo ccm,kuweni na sera ya jino kwa jino na ccmAliyekwambia hana SIFA nani?Basi ngoja nikuhabarishe,sifa kuu ya kupata ULAJI ni:
1.Kuzuia maandamano na mikutano ya wapinzani................
2.Kutukana na kudhalilisha wapinzani...........
3.Kuua wanachama wa Upinzania mfano mzuri Mwangosi na Arusha
4.Kupinga,kutukana na kuwadhalilisha wale wote watakoipinga Katiba ya MAFISADI.............
5.Uwe mtoto wa kada wa CCM mwenye cheo serikalini au kwenye chama.....................
Sasa ni kweli Paul Makonda hana hizo sifa?Usiumie sana sifa anazo tena za kumwaga na hizo ni chache tu..............
anashauriwa na shangazi yako
Mbona umepaniki sana au ndo hasira za kunyimwa ukuu wa wilaya pole sana
Nakuonea huruma sana unavyotumiwa na ccm kama kondomu mwisho wake watakuja kukutupa kwenye dampo la uchafuWewe umepewa huo ukuu wa wilaya acha kiherehere kama mke wa balozi
.....ndiyo ccm,kuweni na sera ya jino kwa jino na ccm
Mi nimechanganyikiwa. Hivi Tanzania kuna Rais?.
Nyerere BABA yetu, rudi bongo hata kwa dakika moja umchape viboko JK. Hili toto sasa amepitiliza. Hata aliyempiga Warioba, muhuni Makonda, eti kawa mkuu wa wilaya!
Ulitaka mama yako ndiye awe mkuu wa wilaya ya kinondoni?