Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,268
- 12,645
Kipo kijiji ambacho sheria kuu pale ni kuwa kinyozi hunyoa ndevu za wanaume wote ambao hawajinyoi ndevu zao wenyewe tu/=. Mwanaume yeyote anayejinyoa mwenyewe yule kinyozi hapaswi kumnyoa.
Sasa swali ni, nani hunyoa ndevu za kinyozi?
Kama kinyozi anajinyoa ndevu zake mwenyewe, basi hawezi kuwa ananyoa ndevu za wanaume ambao hawajinyoi pekee.
Lakini kama kinyozi hajinyoi ndevu zake mwenyewe, basi yeye ni miongoni mwa wanamume ambao hawajinyoi ndevu zao wenyewe, na kwa hiyo kinyozi atapaswa ajinyoe.
Swali kwako ni je, nani humnyoa kinyozi?