Bila Kuwapotezea Muda wenu Muhimu sana. Naomba Kuelimishwa kidogo Juu ya watu asilia wa Zanzibar ni Makabila au kabila gani? Ama Asili yao hasa ni wapi?
Kisha napenda kufahamu, kwann Wazanzibar Weusi wengi ni Masikini, wakati weupe wengi wenye asili kama ya kiarabu ni Matajiri?
Naomba Kuwasilisha.
Kisha napenda kufahamu, kwann Wazanzibar Weusi wengi ni Masikini, wakati weupe wengi wenye asili kama ya kiarabu ni Matajiri?
Naomba Kuwasilisha.