Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,354
Kwanza kabisa nianze kwa kuhisifia dstv kwa huduma nzuri pale unapo subscribe your account.picture ni clear,programs full HD.balaa linaanza kifurushi chako kinapoisha,licha ya maelekezo mazuri ya tcra kea wahusika wa vinga'muzi kuwa channel 6 ni bure hata Kama mteja hajalipia!baadhi ya makampuni ikiwemo dastv wamekaidi agizo Hilo nakuendelea kutunyanyasa sisi wateja wake!kama vile mamlaka husika haina meno,au Kuna kigogo mzito nyuma ya dastv,course several times kwa masikio yangu,nimesikia mkurugenzi was tcra akipiga bit Kali na fine juu ila wapi.hivyo Basi niiombe mmalaka za juu kuliko tcr walivalie njuga hili swala.sababu ni Haki yetu kupata local channels bure kwenye ardhi.tunalipa pesa mingi kwa ajili ya channel za nje lakini siyo Hali kabisa hata kwa itv au tbc zinazoendeshwa na watanzania wenzetu?siyo Haki kabisa
