VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Najiamini mwenyewe
Ni kusikiliza moyo wako tu, si unajua bindamu wamezaliwa wanasema
Wa kuaminiwa ni Mungu tu, baaaas.
na wewe kwa mbaliii.
Mi uniamini unapokuwa na mimi. ukirudi Mpwapwa, imani irudishe kwa Mungu.
mmmh! sawa babu.
ukisikiliza sana maneno ya watu..kamwe huwezi dumu na mpenzi wako.