Mnaandika kama vile wanasiasa ulaya ni malaika. Nakushauri tena tafuta RT spotunik kipindi kinachokua produced na George Galloway utapata mwanga zaidi wa haya mataifa. Masna huyu jamaa ni msema ukweli na si mtu wa propaganda
..wanasiasa wa mataifa yaliyoendelea wanaweza kuwa wahuni na makatili.
..lakini hiyo siyo sababu ya kuwafanya watawala wa Afrika wasiwe waadilifu.
..naamini Waafrika we are better off tukiwa na HAKI SAWA KWA WOTE.