Nani hasa aliyesababisha Zimbabwe kudorora mpaka kufikia hali hii ya sasa

Mbase1970

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
6,053
4,595
Hii article nimeileta hapa kutoa mwanga kwa baadhi ya Watanzania wanaounga mkono Nchi za Magharibi ziwekee vikwazo nchi zinazoendelea. Mfano mdogo nimeleta kuhusu Zimbabwe ili tujue faida na madhara yake na pia kuwapa mwanga wale waliozaliwa miaka ya 80 na 90 wasijua nini kilichotokea Zimbabwr.

Endelea kuisoma hii habari..

Inter Press Service
Who is Really Responsible for Collapse of Zimbabwe’s Health Services?
Frederic Mousseau

Many children under 15 in Zimbabwe discover their HIV status only when they fall critically ill later in life. Credit: Jeffrey Moyo/ IPS

Share Tweet Linkedin Mail
On October 22, 2017, the World Health Organization (WHO) announced that it had removed Zimbabwean president Robert Mugabe as a goodwill ambassador following outrage and concerns raised by his appointment just two days before.
A Guardian article cited WHO member states and activists “who noted that Zimbabwe’s health care system, like many of its public services, has collapsed under Mugabe’s regime.” Another article explained “Mugabe, 93, is blamed in the West for destroying Zimbabwe’s economy and numerous human rights abuses during his 37 years leading the country as either president or prime minister.”

Regardless of Robert Mugabe’s fitness for the position, these commentaries do call for a clarification around who and what exactly destroyed the Zimbabwean economy and its health system.

Zimbabwe’s economic collapse started after the land reform initiated in 2000. The reform intended to remedy the skewed land repartition that was inherited from the British colonial era, during which 5,000 white farmers took possession of around half of the country’s land, leaving several million black Zimbabweans on overcrowded, less fertile land.

For many observers, it became clear in the 1990s that giving land back to black farmers was necessary to fight hunger and poverty in Zimbabwe. As stated by the World Bank “land redistribution was critical for poverty alleviation, essential for political sustainability, and imperative for increasing economic efficiency.” However, rich countries rejected the government’s requests for support for a smooth reform.

In a letter to the Zimbabwean government in November 1997, U.K. Secretary of State for International Development, Ms Claire Short bluntly stated: “I should make it clear that we do not accept that Britain has a special responsibility to meet the costs of land purchase in Zimbabwe. We are a new Government from diverse backgrounds without links to former colonial interests. My own origins are Irish and as you know we were colonised not colonisers.”

It is largely this flat rejection that resulted in the radical and violent implementation of the land reform in 2000 through which the white farms were confiscated and transferred to black farmers. Lacking resources, technical skills, and adequate support, the black farmers who resettled in these farms were initially often not able to restore the previous levels of production.

The drop in production and export earnings contributed to the economic crisis faced by the country in the early 2000s. However, ten years later, development experts recognized the reform as a success, having transferred the land occupied by some 4,000 white farmers to over one million black Zimbabweans who had restored agricultural production and improved their livelihoods.

The reform was met with anger by several Western governments, who took punitive measures including economic sanctions and cutting down development aid to the country. In the years following the reform, aid from the UK and the US went through a major shift that prioritized emergency food aid distributed by Western NGOs over public funding to health and agriculture assistance.

In the following years, despite a prevalence of HIV/Aids exceeding 20% – one of the highest in the world- Zimbabwe was excluded from the Global Fund against HIV/Aids and Tuberculosis. The disease claimed 3,000 lives every week – 170,000 per year by the mid-2000s. The number of orphans reached over 910,000 in 2005 – 20 percent of the country’s children.

Life expectancy dropped to 34 years in 2005 compared to 61 in the 1990s. The anti-retroviral drugs remained inaccessible to the majority of HIV/Aids infected people – out of 295,000 persons needing treatment, only 9,000 received it in 2004.

In May 2005, a grant of USD 10 million was provided through the Global Funds against a request for help of more than USD 300 million made by the government. Even with this grant, Zimbabwe remained the least assisted country with just over USD 1 per capita provided by the Global Fund.

A comparison with other countries in the region shows the extent of the punishment: South Africa received five times more per capita funding; Namibia, 58 times; and Swaziland, 112 times. Furthermore, Zimbabwe was also excluded from other aid packages such as the US President Initiative on HIV/Aids and the PEPFAR program.

In March 2005, the Director of UNICEF warned that “despite the world’s fourth highest rate of HIV infection and the greatest rise in child mortality in any nation, Zimbabweans receive just a fraction of donor funding compared to other countries in the region” and appealed to donors “to look beyond politics and to differentiate between the politics and the people of Zimbabwe.”

The extent of Western outrage created by the nomination of Robert Mugabe as WHO Ambassador is an indication that the so-called donors still don’t look beyond politics. They have never been able to digest the land reform –the threatening precedent that Zimbabwe created in the region, where land and agriculture are still much dominated by white farmers and agribusiness corporations (in South Africa, 80 percent of the agricultural land is still controlled by white farmers today).

It is quite ironic that the WHO’s Director General, Tedros Adhanom Ghebreyesus, comes from Ethiopia, a close ally of the US and the UK. Both countries largely subsidize Ethiopia’s economy and don’t miss an occasion to praise its economic policy despite the government-led land grabbing and forced evictions of local farmers and pastoralists for the establishment of large-scale plantations.

Interesting food for thought for the new generation of African leaders.

* Frédéric Mousseau has conduccted numerous reviews and studies for international development agencies, including several research missions to investigate the crisis in Zimbabwe in the 2000s.

Categories: Africa, Featured, Headlines, Health, Indigenous Rights, Poverty & SDGs, TerraViva United Nations
Leave a Comment
Inter Press Service
Powered by WordPress

Nawasilisha michango si lazima kwa kimombo bali tutumie lugha ya kizalendo lugha yetu ya Taifa
 
Kila Sikh unapoamua kufanya kitu chukua tahadhari bila kufuata haki maguvu hayasaidii mfano dhahiri in huyo jiwe mabavu kila Sikh anaangukia pua ref.ndege ilikamatwa Canada .hasira zikapelekea Lisu amiminiwe risasi,Alikamata makinikia kwa pupa ambapo sasa analimika kuyaachia bila masharti work done zero
 
Zimbabwe ilichemka kwenye kuchukua maamuzi sahihi dhidi ya kudeal na hao wazungu hasa upande wa ardhi. Mandela alipochukua South Africa hakutaka huo uzalendo wa kijinga na kuendekeza siasa za visasi, bali alifungua ukurasa mpya wa maridhiano na kuacha njia za uchumi kubaki kwa wenye uwezo ambao ni wazungu, lakini watoe ajira na kulipa kodi. Hiyo ndio siri ya urembo wa Africa kusini uchumi wake kutokushuka hata baada ya watu weusi kuingia madarakani. Iwapo Mandela angeendekeza huo uzalendo wa kina Mugabe na Nyerere leo hii Afrika kusini ingekuwa hohe hohe.
 
Mkuu sijasema popote naunga mkono hayo mabavu unless unaniandikia. Ninachotaka kusema ni kuwa makini hakuna mzungu anayekupenda wewe.

Angalia Zimbabwe mfano mzuri Mugabe alisababisha vifo vingi vya watu wa kabila la Matebele miaka ya 80 kama vile Mkapa na uliyankuru. Geogle Matebele Masacre utaona. Wakati huo analala kitanda kimoja na wao hakuitwa dikteta kwa kuua wazimbabwe weusi zaidi alipewa heshima na Queen Elizabeth kama Knighthood. Peleka mbele 2000 anawanyang'anya wazungu ardhi kwa kosa la serikali ya Uingereza kutokutimiza ahadi waliyoitoa iitwayo "Lancaster Hiuse Agreement" wanamuita Dikteta halafu ninyi waafrika bado mnadhani wapo upande wenu.

Wanalia Corruption unadhani haya mataifa yaliweza kuuangamiza NAZISM Europe wanashindwa kumaliza cortuption? Jamaa kwana wanatazama maslahi yao ya muda mrefu ndiyo maana siku hizi hata wstu walivyo mbumbu wanajua nini kinatokea duniani kwasababu ya mitandao ya kijamii. Wanaelevuka na wanazijua propaganda za main stream media. Wabongo wanaangalia cnn ama msnbc ama fox news zote zinamilikiwa na mabepari wenye hisa nyingi kwrnye makampuni na wana nagadi kubwa ya ku lobby vitu vyote kwenye mabunge yao vitakavyokwsmisha juhudi zao za juiba kwa maskini kwenye nchi kama ya kwetu.

Ujue marekani inaongoza kwa rushwa ila rushwa yao imehalalishwa kisheria kwa kuruhusu malobist kurandaranda kwenye mabunge na kuwapatia pesa za kampeni kama donations
 
Zimbabwe ilichemka kwenye kuchukua maamuzi sahihi dhidi ya kudeal na hao wazungu hasa upande wa ardhi. Mandela alipochukua South Africa hakutaka huo uzalendo wa kijinga na kuendekeza siasa za visasi, bali alifungua ukurasa mpya wa maridhiano na kuacha njia za uchumi kubaki kwa wenye uwezo ambao ni wazungu, lakini watoe ajira na kulipa kodi. Hiyo ndio siri ya urembo wa Africa kusini uchumi wake kutokushuka hata baada ya watu weusi kuingia madarakani. Iwapo Mandela angeendekeza huo uzalendo wa kina Mugabe na Nyerere leo hii Afrika kusini ingekuwa hohe hohe.
Siyo kweli kuna tofauti mkuu. Ukitaka kuelewa utofauti wa SA na Zimbabwe inakubidi ukaisome hiyo Agreement ya Lancaster House. Ardhi ile ilinyang'anywa kwa kuwahamisha kinguvu watu weusi na kuwapeleka katika arfhi ambayo haikuwa fertile. Inawezekana vipi mtu umnyang'anye ardhi yake halafubusimlipe lakini wewe unataka ulipwe ili umurudishie mwenye uhalali wa ardhi.

Toa mapenzi yako kwa wazungu jaribu kutathmini kama hicho kitu kingefanyika kwa wewe.
 
Land reform
Edit
In addition to the terms cited above, Robert Mugabe and his supporters were pressured into agreeing to wait ten years before instituting land reform.[citation needed]

The three-month-long conference almost failed to reach an accord due to disagreements on land reform. Mugabe was pressured to sign, and land was the key stumbling block.[citation needed] Both the British and American governments offered to compensate white citizens for any land sold so as to aid reconciliation (the "Willing buyer, Willing seller" principle), and a fund was established to operate from 1980 to 1990.[citation needed]
 
Siyo kweli kuna tofauti mkuu. Ukitaka kuelewa utofauti wa SA na Zimbabwe inakubidi ukaisome hiyo Agreement ya Lancaster House. Ardhi ile ilinyang'anywa kwa kuwahamisha kinguvu watu weusi na kuwapeleka katika arfhi ambayo haikuwa fertile. Inawezekana vipi mtu umnyang'anye ardhi yake halafubusimlipe lakini wewe unataka ulipwe ili umurudishie mwenye uhalali wa ardhi.

Toa mapenzi yako kwa wazungu jaribu kutathmini kama hicho kitu kingefanyika kwa wewe.

Uko sahihi sana, ilikuwa ni rahisi sana, ukweli ni kuwa wenye uwezo wa kulima walikuwa ni wazungu, hao waafrika walikuwa ni wakuna ardhi hamna mkulima. Ungewekwa utaratibu mzuri wa mfuko maalum ambao kila mzungu anayemiliki ardhi akatwe kiasi walipwe wanaodai, au hizo pesa zianzishe viwanda na watakaopewa ajira kipaombele ni waliokua wameondolewa kwenye ardhi. Ila mihemko ya viongozi kujifanya wazalendo na kusaka kiki za kisiasa ndio matokeo yake. Je hao wafrika waliporudishiwa hizo ardhi walitoka kwenye umasikini au ndio walirudi rasmi kwenye umasikini wakiwa wanamiliki ardhi?

Kibaya zaidi huyo rais aliyekuwa anajifanya rais mzalendo akaishia kukaa madarakani kwa mrefu tena kwa mbinu chafu kuliko hata hizo za hao wazungu, huku akitumia ardhi alizowapa hao weusi kama kete ya kuendelea kukaa madarakani hata mambo yalipokuwa mabaya. Huu ni mchezo wa viongozi wengi wa kiafrika kujifanya wazalendo huku wakichezea box la kura ili wabaki madarakani. Mchezo huo wa kiongozi kujifanya mzalendo ili akae madarakani kwa kisingizio cha uzalendo uko hata hapa nchini, na tunaona kabisa chaguzi zenye dhuluma na matendo machafu kwa kisingizio cha kuleta maendeleo na uzalendo wa kuigiza.
 
Unatoka kwenye mada. Kukaa muda mrefu ni haki ya wazimbabwe kwa katiba yao. Tatizo ni kwamba Wazungu walidanganya. Wso walitaka kumaliza ile vita ya msituni maana walikua wanakwenda kushindwa. Ilipoletwa madavya ardhi wakaweka agreement kanyaboya ambayo hawakuitimiza. Mugabe hakua na jinsi maana waliotakiwa kuwalipa waliodhuluma mashamba walikua serikali ya uingeteza. Serikali mpya ilipoingia ikakataa Mugabe akawekwa kati na ma veterani walikua msituni kudai uhuru wakidai haki zao walizoahidiwa. Wewre ungefanyaje?

Miaka mingi Queen Elizabeth anaongoza duniani kwa kukalia kiti muda mrefu ama hiyo huioni?
 
Correct
 
..ukifuatilia michango yangu ya zamani utaona kuwa nilikuwa namuunga mkono Mugabe ktk maamuzi yake kuhusu ardhi na vita vya Congo.

..kosa alilofanya Mugabe ni kung'ang'ania madarakani kwa muda mrefu.

..alipaswa kuiga kwa Mwalimu Nyerere ambaye aliamua KUNG'ATUKA alipoona amekuwa kikwazo kwa mahusiano mema na endelevu baina ya Tz na nchi wahisani na mashirika ya fedha ya kimataifa.
 
Unatoka kwenye mada. Kukaa muda mrefu ni haki ya wazimbabwe kwa katiba yao. Tatizo ni kwamba Wazungu walidanganya. Wso walitaka kumaliza ile vita ya msituni maana walikua wanakwenda kushindwa. Ilipoletwa madavya ardhi wakaweka agreement kanyaboya ambayo hawakuitimiza. Mugabe hakua na jinsi maana waliotakiwa kuwalipa waliodhuluma mashamba walikua serikali ya uingeteza. Serikali mpya ilipoingia ikakataa Mugabe akawekwa kati na ma veterani walikua msituni kudai uhuru wakidai haki zao walizoahidiwa. Wewre ungefanyaje?

Miaka mingi Queen Elizabeth anaongoza duniani kwa kukalia kiti muda mrefu ama hiyo huioni?

Sina tatizo na kukaa madarakani muda mrefu, je alikaa muda mrefu kwa njia halali au ni kama hizo hizo za hao wazungu aliowaondoa? Ukweli ni kuwa Mugabe alifanya vizuri miaka 10 ya mwanzo, ila alipoanza kuchezea box la kura hapo ndio alipoharibu mambo yote.

Malkia Elizabeth yuko madarakani muda wote huo maana sio cheo cha kuchaguliwa, au umewahi kusikia upigaji kura wa kumchagua malkia huko UK? Au kuna siku umewahi kuona wakati wa uchaguzi huko UK, vyombo vya usalama vya nchi hiyo kuanza kujipendekeza kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani, huku wakiwapiga mabomu vyama vya upinzani?
 
Duh umenielewa mkuu?. Nimekuambia suala la katiba kabla ziamzungumzia Malkia. Katiba ya Zimbabwe kama haijaweka ukomo huna mamlaka ya kumlaumu Mugabe na vilevile kama waingereza wana sheria ya kumuacha Kiongozi wao afie madarakani mimi na wewe ni kina nani kuuliza
ukomo?
 
Usijifanye hujaona niliposema kwamba sina tatizo na Mugabe kukaa madarakani muda mrefu, bali nimesema amewezaje kukaa madarakani muda wote huo? Sehemu kubwa alikuwa anatumia mbinu za kifedhuli kama hizi zilizoingizwa hapa nchini na awamu hii ya tano. Ni kweli matatizo ya Zimbabwe kuna sehemu yamechangiwa na mataifa ya nje, ila sehemu kubwa ni jeuri ya Mugabe kwa kisingizio cha kujifanya mzalendo, lakini ukimfuatilia vizuri alikuwa ni mumiani mwenye uchu wa madaraka.

Ulimtaja Malkia kama sehemu ya kuonyesha mbona hata yeye kakaa madarakani muda mrefu, kama huyo Mugabe ninayemnyooshea kidole. Nikakwambia umalkia sio cheo cha kupigiwa kura na wananchi, lakini kwenye cheo cha kura huwa tunaona fairness.
 
..TERM LIMIT inaweza isiwe tatizo.

..tatizo la nchi zetu za Kiafrika ni kutokuwepo kwa HAKI SAWA KWA WOTE.

..lingine ni watawala kutumia MABAVU ili waendelee kukaa madarakani.
 
Nikuulize nani aliyempigia kura Boris Johnson kuwa PM wa sasa wa UK. Naomba unipatie jibu
 
..TERM LIMIT inaweza isiwe tatizo.

..tatizo la nchi zetu za Kiafrika ni kutokuwepo kwa HAKI SAWA KWA WOTE.

..lingine ni watawala kutumia MABAVU ili waendelee kukaa madarakani.
Mnaandika kama vile wanasiasa ulaya ni malaika. Nakushauri tena tafuta RT spotunik kipindi kinachokua produced na George Galloway utapata mwanga zaidi wa haya mataifa. Masna huyu jamaa ni msema ukweli na si mtu wa propaganda
 
Back
Top Bottom