Nani hasa aliyesababisha Zimbabwe kudorora mpaka kufikia hali hii ya sasa

Mnaandika kama vile wanasiasa ulaya ni malaika. Nakushauri tena tafuta RT spotunik kipindi kinachokua produced na George Galloway utapata mwanga zaidi wa haya mataifa. Masna huyu jamaa ni msema ukweli na si mtu wa propaganda

..wanasiasa wa mataifa yaliyoendelea wanaweza kuwa wahuni na makatili.

..lakini hiyo siyo sababu ya kuwafanya watawala wa Afrika wasiwe waadilifu.

..naamini Waafrika we are better off tukiwa na HAKI SAWA KWA WOTE.
 
Kila unachokisema nipo pamoja na wewe ila ninataka kusema tuwe makini na chui aliyejivika ngozi punda. Hakuna mzungu mwrnye huruma na watu weusi maana akilini mwao tangu kizazi na kizazi wamejiaminisha wapo bora zaidi yetu. Wanaongoza kwa unafiki. Fikiria barua ya leo ya Marekani na UK kuhusu haki za binadamu. Julian Assange alikua kizuizini zaidi ya miaka sita ubalozini Ecuador. Snowden mmarekani kakimbia nchi yupo Russia mkimbizi. Kuna watu wamekufa katika mazingira ya kutatanisha ref Dr Kerry sababu ya kutoa ukweli kwa vyombo vya habari kuhusu vita vya Iraq. Leo wanakua wasemaji wa haki za binadamu wakati kuwa mwrusi marekani ni sawa na kuwa mtuhumiwa wa jinai. Wakiandika barua zao sisi tunashangilia sababu tu hatumtaki rais. Binafsi sikubaliani na baadhi ya uvunjaji wa haki za wanasiasa na wapinzani lakini siwezi hata siku moja kuunga mkono USA na UK kuingilia mambi yetu ya ndani maana hawana moral authority kufanya hivyo.
 
Nikuulize nani aliyempigia kura Boris Johnson kuwa PM wa sasa wa UK. Naomba unipatie jibu

Umeingia pazuri, umewahi kuona kiongozi wetu yoyote akiwajibika kama alivyofanya Theresa May? Ni waziri mkuu wa ngapi amejiuzulu tu kwa hilo suala la brexit? Kama kuna mawaziri wakuu wameweza kujiuzulu wenyewe kwa kuona wanachosimamia kina sintofahamu kwa jamii, usitafute mfanano na huku kwetu ambapo mabox ya kura yanatolewa vituoni tena kwa uratibu wa vyombo vya dola, na kwenda kujazwa kura za chama kimoja. Kisha vyombo vya dola vinaonekana vikishangilia huo ushindi na hao viongozi walioagiza hiyo hujuma!

Mbase1970, hayo unayohoji kuhusu demokrasia ya hao watu ni mbigu na ardhi na huu ushenzi unaofanyika huku Afrika. Ni vyema ukaa kimya lakini ukitaka kuhoji hayo unayohoji ni kama kutaka kuchekesha maiti mortuary. Narudia tena, ni kweli mataifa ya nje yalichangia 1/3 ya hali mbaya iliyopo Zimbabwe, lakini aina ya uongozi wa Zimbabwe hasa Mugabe Tena kwa kujifanya mzalendo una mchango mkubwa kwa hapo ilipo Zimbabwe leo.
 
..sawa.

..ni kweli wamarekani weusi wanabaguliwa na kuteswa na wamarekani weupe.

..lakini hiyo haihalalishi ubaguzi, chuki, na ukatili, wa watawala dhidi ya viongozi na wafuasi wa upinzani.

..Eric Snowden kulazimika kukimbia nchi yake, hakuhalalishi Alphonce Mawazo kuuwawa mchana kweupe na mwili wake kudhalilishwa.

..Hali inazidi kuwa mbaya siku hadi siku. Tunahitaji msaada wa haraka. Na katika mazingira tuliyokuwa nayo hatuwezi kuanza kuhoji wanaotusaidia kupiga kelele kama wana moral authority ya kufanya hivyo au la.

..
 
Nina imani umenielewa ila hutaki kukubali. Hakuna kashfa yoyote hapo kuhusu Brexit na hizo ni siasa zao UK. Nilichokua nazungumzia kama kawaida yako ya kuhamishia goli ni kuhusu kuheshimu sheria nabkanuni za watu. Tulimzungumzia mugabe kubaki muda mrefu. Mimi pamoja navkukubali kuwa alitaka kung'atuka lakini nimesema ni bora kuheshimu katiba za watu. Kama UK wao pia hawana ukomo ndiyo maana TonybBlair kama si mizengwe ya rafiki yake angebaki madarakani mpaka leo sababu hawana kitu ukomo. Nimezungumzia pia kuhusu demokrasia inategemea unaidefine namna gani. Hapa UK tupo zaidi ya mil 60 lakini waziri mkuu anapigiwa kura na watu wasizidi 500. Marekani ina watu karibu milioni mia mbili lakini rais anapitishwa na wstu wasiozidi 300. Sasa definition ya demokrasia ni wengi wape katika uchaguzi wa 2016 Hillary alishinda kura kwa zaidi ya mil 3 lakini leo hii rais ni Trump. Hivyo usipende kuchanganya mambo na kutoka kati reli kuingilia vitu ambavyo hatukua tunavizungumzia kama vile kujiuzuru. Hiyo ni hiri yake May hakulazimishwa maana kwrnye kura ya no confidence alishinda. Andika yanayoihusu Tanzania unapoishi huku waachie wenyewe. Usichokijua hata wananchi wao wanalalamika kama wewe unavyomlalamikia Jiwe. Maana maishi ni magumu tangu 2008.
 
..sawa.

..ni kweli wamarekani weusi wanabaguliwa na kuteswa na wamarekani weusi.

Wewe ukiwa mwizi unapata haki wapi ya kuniasa mimi niache wizi?
 
Nikuulize kitu kimoja sijui kama umeshaishi katika hizi nchi hasa UK.
 
Wewe ukiwa mwizi unapata haki wapi ya kuniasa mimi niache wizi?

..sisi nia yetu ni ubaguzi na ukatili ktk awamu ya 5 ukome.

..na haijalishi kama watu wa nje wanaosaidia kupiga makelele wana moral authority ya kufanya hivyo.
 
Zimbabwe ilichemka kwenye kuchukua maamuzi sahihi dhidi ya kudeal na hao wazungu hasa upande wa ardhi. Mandela alipochukua South Africa hakutaka huo uzalendo wa kijinga na kuendekeza siasa za visasi, bali alifungua ukurasa mpya wa maridhiano na kuacha njia za uchumi kubaki kwa wenye uwezo ambao ni wazungu, lakini watoe ajira na kulipa kodi. Hiyo ndio siri ya urembo wa Africa kusini uchumi wake kutokushuka hata baada ya watu weusi kuingia madarakani. Iwapo Mandela angeendekeza huo uzalendo wa kina Mugabe na Nyerere leo hii Afrika kusini ingekuwa hohe hohe.
Correct
 
Nina imani umenielewa ila hutaki kukubali. Hakuna kashfa yoyote hapo kuhusu Brexit na hizo ni siasa zao UK. Nilichokua nazungumzia kama kawaida yako ya kuhamishia goli ni kuhusu kuheshimu sheria nabkanuni za watu. Tulimzungumzia mugabe kubaki muda mrefu. Mimi pamoja navkukubali kuwa alitaka kung'atuka lakini nimesema ni bora kuheshimu katiba za watu. Kama UK wao pia hawana ukomo ndiyo maana TonybBlair kama si mizengwe ya rafiki yake angebaki madarakani mpaka leo sababu hawana kitu ukomo. Nimezungumzia pia kuhusu demokrasia inategemea unaidefine namna gani. Hapa UK tupo zaidi ya mil 60 lakini waziri mkuu anapigiwa kura na watu wasizidi 500. Marekani ina watu karibu milioni mia mbili lakini rais anapitishwa na wstu wasiozidi 300. Sasa definition ya demokrasia ni wengi wape katika uchaguzi wa 2016 Hillary alishinda kura kwa zaidi ya mil 3 lakini leo hii rais ni Trump. Hivyo usipende kuchanganya mambo na kutoka kati reli kuingilia vitu ambavyo hatukua tunavizungumzia kama vile kujiuzuru. Hiyo ni hiri yake May hakulazimishwa maana kwrnye kura ya no confidence alishinda. Andika yanayoihusu Tanzania unapoishi huku waachie wenyewe. Usichokijua hata wananchi wao wanalalamika kama wewe unavyomlalamikia Jiwe. Maana maishi ni magumu tangu 2008.

Ni hivi sijakuelewa usilazimishe kwamba nimekuelewa, na kimsingi sijadiliani na ww ili kusaka ushindi bali ni katika mijadala ya kuelimishana. Na hapa nazungumza ninachokifahamu na kukiona.

Napenda ufahamu sina tatizo na kanuni wala katiba za nchi husika. Ninasema pindi kiongozi anapokaa madarakani kwa njia ya hujuma hiyo sio sawa. Hakuna kanuni inayoruhusu hujuma katiba jambo lolote hasa linalofanyika kwa ushindani. Pitia hapo uliposema Mugabe alitaka kung'atuka hapaeleweki unamaanisha nini? Sitaki unichanganyie katiba ya US na UK zinasemaje kwenye kumpata rais au waziri mkuu, bali nazungumzia fairness kwenye hizo chaguzi. Kinachochangia wengi wao kutokukaa madarakani muda mrefu ni kwasababu ya huu uhuni ulioko huku kwetu kutokuwa na nafasi. Unamichekesha ile mbaya, unasema nisichanganye mambo ambayo tulikuwa hatuzungumzii, je hili la uchaguzi wa US tumelizungumzia wapi? Umeishiwa hoja, na ni kwasababu unajenga hoja zako katika kutaka kutetea uovu.
 
Basi tumalize mjadala sababu sehemu kubwa tunakubaliana ila kuna baadhi ya vitu labda hatuelewani. Tukubali kutokubaliana . Na nashukuru kwa majadiliano yalikua ya ki utu hayana personal attacks. Jioni njema
 
Unatoka kwenye mada. Kukaa muda mrefu ni haki ya wazimbabwe kwa katiba yao. Tatizo ni kwamba Wazungu walidanganya. Wso walitaka kumaliza ile vita ya msituni maana walikua wanakwenda kushindwa. Ilipoletwa madavya ardhi wakaweka agreement kanyaboya ambayo hawakuitimiza. Mugabe hakua na jinsi maana waliotakiwa kuwalipa waliodhuluma mashamba walikua serikali ya uingeteza. Serikali mpya ilipoingia ikakataa Mugabe akawekwa kati na ma veterani walikua msituni kudai uhuru wakidai haki zao walizoahidiwa. Wewre ungefanyaje?

Miaka mingi Queen Elizabeth anaongoza duniani kwa kukalia kiti muda mrefu ama hiyo huioni?
Queen hapigiwi kura.
 
Basi tumalize mjadala sababu sehemu kubwa tunakubaliana ila kuna baadhi ya vitu labda hatuelewani. Tukubali kutokubaliana . Na nashukuru kwa majadiliano yalikua ya ki utu hayana personal attacks. Jioni njema

Nawe pia, nakupongeza na kukubali kwa ujengaji wako mzuri wa hoja!
 
Hivi kama wazimbabwe wenye asili ya ulaya,wangeachiwa njia za uchumi walizokuwa wanamiriki,kama SA,leo Zimbabwe ingekuwa wapi?
Yapo mazuri yaliyofanywa na watu weusi,lakini mengi ni madudu,angalia Nigeria,Kenya,Congo,
Hivi ukiitoa nchi ya SA,ni nchi gani katika Afrika,yenye uchumi unaoshindana na chumi za nchi za ulaya?
Makabulu walitesa wenzetu,lakini walijenga uchumi,na kuiweka SA katika ramani ya dunia(kwa kusaidiwa na binamu zao wa ulaya)
Cheki makabulu weusi wanachofanya baada ya kukamata madaraka,ni kujilimbikizia Mali tu,wangapi wametumia nafasi zao,kutengeneza ajira?
 
Inasikitisha lakini ukiangalia unakuta sababu ni kuguswa kwa maslahi ya wabeberu
Aisee kuliko kufikia hali hiyo ambayo kimsingi haitawaathiri wanasiasa isipokuwa sisi ni vyema serikali isijiingize kwenye mivutano na migogoro na hao wakubwa ,Venezuela ni mfano mzuri kwa sasa
 
Hivi kama wazimbabwe wenye asili ya ulaya,wangeachiwa njia za uchumi walizokuwa wanamiriki,kama SA,leo Zimbabwe ingekuwa wapi?
Yapo mazuri yaliyofanywa na watu weusi,lakini mengi ni madudu,angalia Nigeria,Kenya,Congo,
Hivi ukiitoa nchi ya SA,ni nchi gani katika Afrika,yenye uchumi unaoshindana na chumi za nchi za ulaya?
Makabulu walitesa wenzetu,lakini walijenga uchumi,na kuiweka SA katika ramani ya dunia(kwa kusaidiwa na binamu zao wa ulaya)
Cheki makabulu weusi wanachofanya baada ya kukamata madaraka,ni kujilimbikizia Mali tu,wangapi wametumia nafasi zao,kutengeneza ajira?
Lakini ndugu saizi south iko kwenye crisis ya ajira sababu kubwa ikiwa ni hiyo ya ardhi sijajua kwa nini serikali hainunui hizo ardhi kwa wazungu ndio iwape weusi au wazungu hawako tayari kuiuza?
 
Hii article nimeileta hapa kutoa mwanga kwa baadhi ya Watanzania wanaounga mkono Nchi za Magharibi ziwekee vikwazo nchi zinazoendelea. Mfano mdogo nimeleta kuhusu Zimbabwe ili tujue faida na madhara yake na pia kuwapa mwanga wale waliozaliwa miaka ya 80 na 90 wasijua nini kilichotokea Zimbabwr.

Endelea kuisoma hii habari..

Inter Press Service
Who is Really Responsible for Collapse of Zimbabwe’s Health Services?
Frederic Mousseau

Many children under 15 in Zimbabwe discover their HIV status only when they fall critically ill later in life. Credit: Jeffrey Moyo/ IPS

Share Tweet Linkedin Mail
On October 22, 2017, the World Health Organization (WHO) announced that it had removed Zimbabwean president Robert Mugabe as a goodwill ambassador following outrage and concerns raised by his appointment just two days before.
A Guardian article cited WHO member states and activists “who noted that Zimbabwe’s health care system, like many of its public services, has collapsed under Mugabe’s regime.” Another article explained “Mugabe, 93, is blamed in the West for destroying Zimbabwe’s economy and numerous human rights abuses during his 37 years leading the country as either president or prime minister.”

Regardless of Robert Mugabe’s fitness for the position, these commentaries do call for a clarification around who and what exactly destroyed the Zimbabwean economy and its health system.

Zimbabwe’s economic collapse started after the land reform initiated in 2000. The reform intended to remedy the skewed land repartition that was inherited from the British colonial era, during which 5,000 white farmers took possession of around half of the country’s land, leaving several million black Zimbabweans on overcrowded, less fertile land.

For many observers, it became clear in the 1990s that giving land back to black farmers was necessary to fight hunger and poverty in Zimbabwe. As stated by the World Bank “land redistribution was critical for poverty alleviation, essential for political sustainability, and imperative for increasing economic efficiency.” However, rich countries rejected the government’s requests for support for a smooth reform.

In a letter to the Zimbabwean government in November 1997, U.K. Secretary of State for International Development, Ms Claire Short bluntly stated: “I should make it clear that we do not accept that Britain has a special responsibility to meet the costs of land purchase in Zimbabwe. We are a new Government from diverse backgrounds without links to former colonial interests. My own origins are Irish and as you know we were colonised not colonisers.”

It is largely this flat rejection that resulted in the radical and violent implementation of the land reform in 2000 through which the white farms were confiscated and transferred to black farmers. Lacking resources, technical skills, and adequate support, the black farmers who resettled in these farms were initially often not able to restore the previous levels of production.

The drop in production and export earnings contributed to the economic crisis faced by the country in the early 2000s. However, ten years later, development experts recognized the reform as a success, having transferred the land occupied by some 4,000 white farmers to over one million black Zimbabweans who had restored agricultural production and improved their livelihoods.

The reform was met with anger by several Western governments, who took punitive measures including economic sanctions and cutting down development aid to the country. In the years following the reform, aid from the UK and the US went through a major shift that prioritized emergency food aid distributed by Western NGOs over public funding to health and agriculture assistance.

In the following years, despite a prevalence of HIV/Aids exceeding 20% – one of the highest in the world- Zimbabwe was excluded from the Global Fund against HIV/Aids and Tuberculosis. The disease claimed 3,000 lives every week – 170,000 per year by the mid-2000s. The number of orphans reached over 910,000 in 2005 – 20 percent of the country’s children.

Life expectancy dropped to 34 years in 2005 compared to 61 in the 1990s. The anti-retroviral drugs remained inaccessible to the majority of HIV/Aids infected people – out of 295,000 persons needing treatment, only 9,000 received it in 2004.

In May 2005, a grant of USD 10 million was provided through the Global Funds against a request for help of more than USD 300 million made by the government. Even with this grant, Zimbabwe remained the least assisted country with just over USD 1 per capita provided by the Global Fund.

A comparison with other countries in the region shows the extent of the punishment: South Africa received five times more per capita funding; Namibia, 58 times; and Swaziland, 112 times. Furthermore, Zimbabwe was also excluded from other aid packages such as the US President Initiative on HIV/Aids and the PEPFAR program.

In March 2005, the Director of UNICEF warned that “despite the world’s fourth highest rate of HIV infection and the greatest rise in child mortality in any nation, Zimbabweans receive just a fraction of donor funding compared to other countries in the region” and appealed to donors “to look beyond politics and to differentiate between the politics and the people of Zimbabwe.”

The extent of Western outrage created by the nomination of Robert Mugabe as WHO Ambassador is an indication that the so-called donors still don’t look beyond politics. They have never been able to digest the land reform –the threatening precedent that Zimbabwe created in the region, where land and agriculture are still much dominated by white farmers and agribusiness corporations (in South Africa, 80 percent of the agricultural land is still controlled by white farmers today).

It is quite ironic that the WHO’s Director General, Tedros Adhanom Ghebreyesus, comes from Ethiopia, a close ally of the US and the UK. Both countries largely subsidize Ethiopia’s economy and don’t miss an occasion to praise its economic policy despite the government-led land grabbing and forced evictions of local farmers and pastoralists for the establishment of large-scale plantations.

Interesting food for thought for the new generation of African leaders.

* Frédéric Mousseau has conduccted numerous reviews and studies for international development agencies, including several research missions to investigate the crisis in Zimbabwe in the 2000s.

Categories: Africa, Featured, Headlines, Health, Indigenous Rights, Poverty & SDGs, TerraViva United Nations
Leave a Comment
Inter Press Service
Powered by WordPress

Nawasilisha michango si lazima kwa kimombo bali tutumie lugha ya kizalendo lugha yetu ya Taifa
Ujinga wa mwafrika kulaumu mzungu kwa kila kitu. Sasa hao Wazimbabwe ukimwi wapate wao halafu watake dawa za misaada toka Ulaya? Huo si ndiyo ujinga wenyewe? Kwani huko ulaya nani anawapa dawa? Kama kina Mugabe ni vidume wangetengeneza dawa wao wenyewe na sio kulialia kuwa wamenyimwa misaada.

Ona sasa huyo mjinga Mugabe kaivuruga nchi na hadi dk hii yupo Singapore anatibiwa. Kwa nn asingetibiwa nchini kwake? Hao aliowaharibia maisha wanaweza kwenda Singapore miezi 4 kwa matibabu kama yeye.
Ukisikia ujinga wa kiwango cha SGR ndiyo huu ulioandika.
 
Lakini ndugu saizi south iko kwenye crisis ya ajira sababu kubwa ikiwa ni hiyo ya ardhi sijajua kwa nini serikali hainunui hizo ardhi kwa wazungu ndio iwape weusi au wazungu hawako tayari kuiuza?

Mkuu kwani ardhi ndio inayotoa ajira? Hata ukipewa ardhi kama huna mtaji utafanya nini zaidi ya kugeuka kuwa masikini? Kwa mfano hapa Tanzania wengi wetu wanamiliki ardhi, mbona ndio masikini zaidi? Robo 3 ya watu walioko huku mjini wamekimbia ardhi huko vijijini, sasa hivi wengi wao wanaishi kwenye room za kupanga huku mijini, kama ardhi ni mali hivyo kipi kimewafanya watu waziache huko vijijini na kuja kulundikana huku mijini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom