Nani hakufanya hii utotoni?

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
.......,.
 

Attachments

  • image.jpg
    19.7 KB · Views: 612
wako wengi tuu.hivi unafikiri kama kwenu nuymba ya tembe ngazi hizo utaziona wapi?
 
kwanza nilikuwa sikijui hicho ni nini?
 
Haha haha ha, Umenikumbusha mbali mkuu!
 
Duh nimefanya hyo kitu mpaka namaliza advanced sec education,ha ha ha
 
Kwetu hakuna gorofa hadi leo hata shule hakuna mie najua panda madawati na kubeba matofali ya kuchoma
 
Mi sijacheza mchezo wowote zaidi ya mchezo wa baba na mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…