Wadau hakuna asie tambua uwepo wa makahaba, serikali inatambua uwepo wa biashara hii haramu lakini hakuna juhudi za kuipinga tafsiri yake ni kwamba wameiruhusu, je nani awatoze kodi wafanyabiashara hawa?
hapo sasa-hakuna wa kulipa-na pia watadai wawe na insurance nyingine kama za health insurance n.k
baadhi ya nchi za ulaya wanalipa kodi na wanafanya biashara yao kawaida
Hiyo sio kodi kaka...
Sheria za inji ya kwetu zinaruhusu TRA au halmashauri kutoza kodi.
Halafu umeshasema kuwa hiyo ni hela ya ulinzi, halafu tena unaiita kodi.