Nani atumike kuzuia mafuriko

Nani atumike kuzuia mafuriko

a4apple

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
927
Reaction score
1,143
Mafuriko haya hayazuiliki kwa mkono, jembe, greda wala ukuta, yeyote anayejipendekeza atasombwa na maji.

Hapa mumtumie Slaa, Mbowe, sijui nanii, endeleeni kuwapanga. Lowassa awe fisadi, kibaka, mwizi, mgonjwa, nk .

SISI MALOFA HATUWAELEWI MAANA UPUMBAVU WETU UPO KIWANGO CHA JUU SANA.
 
dawa ya mafuriko ni kuhamia milimani.
unachowaza ndicho wanyama kama majoka ; mafisi ;simba ;chui;viboko na wanyama wengine wengi WANACHO WAZA utakutana nao huko watakubandUWA taratibu wakisha kubanduWA wanakufanya kitoweo utakuwa umekwepa nini!?
 
unachowaza ndicho wanyama kama majoka ; mafisi ;simba ;chui;viboko na wanyama wengine wengi WANACHO WAZA utakutana nao huko watakubandwa taratibu wakisha kubanduwa wanakufanya kitoweo utakuwa umekwepa nini!?

Ccm bora wakimbilie milimani au juu ya paa
 
Poleni sana.Hali ilivyo kwa sasa upinzani kushinda ngumu sana.Tuseme mnatumia criteria ya mikusanyiko ya watu katika mikutano mnadhani wote wapiga kura wa UKAWA.Mtashangaa Oktoba
 
Yaani wananchi wakichoka wakasema basi hakuna wa kuwabadili,mmewafanya kondoo miaka mingi sasa wamesema enough is enough!Mabadiliko ni sasa
 
Poleni sana.Hali ilivyo kwa sasa upinzani kushinda ngumu sana.Tuseme mnatumia criteria ya mikusanyiko ya watu katika mikutano mnadhani wote wapiga kura wa UKAWA.Mtashangaa Oktoba
Pole jipe ww na chama chako hamna jipya lazma mkae
 
Poleni sana.Hali ilivyo kwa sasa upinzani kushinda ngumu sana.Tuseme mnatumia criteria ya mikusanyiko ya watu katika mikutano mnadhani wote wapiga kura wa UKAWA.Mtashangaa Oktoba

Sasa na nyie huwa mnakodisha watu kwenye kampeni zenu ili iweje!? Kama waTZ wa 2010 wako vilevile mpaka 2015 hauko sawa
 
Sisi wapumbavu na malofa tuko nyuma ya wapumbavu na malofa wenzetu.
 
Poleni sana.Hali ilivyo kwa sasa upinzani kushinda ngumu sana.Tuseme mnatumia criteria ya mikusanyiko ya watu katika mikutano mnadhani wote wapiga kura wa UKAWA.Mtashangaa Oktoba

nyinyi wenyewe mnavyofanya fiesta kwenye mikutano yenu kwani mnafikiri wanaokuja wote watawapigia kura au wamekuja tu kwenye fiesta la ccm. tukutane oktoba.
 
Mafuriko yatazuilika mpaka Malofa na Wapumbavu watakapoboreshewa Maisha na Ukawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom