Kangi Lugola na Deo FilikunjombeKumpigia mtu kampeni ili akubalike kwa wapiga kura sio jambo dogo kulifanya, linahitaji mpiga debe aliye msafi na anayekubalika kwa wapiga kura. Mpiga debe hana budi kuwa na rekodi nzuri na msafi wa nje na ndani. Je CCM nani anafaa kuongoza kampeni za kumnadi Magufuli kwa wapiga kura?
Acheni utani sasa, huyo aliyemaliza mlimwita hivyo baadae mkaanza kukana hamkumwita chaguo la Mungu. Hata awe nani CCM hawawezi kuleta mabadiliko nchi hii, na akichaguliwa huyu ni miaka mingine 10 ya maumivu kama si mitano.
Kangi Lugola na Deo Filikunjombe
Njia na Mawazo ya Wanadamu ni tofauti na Utendanji wa Mungu.Uteuzi wa Dk.John Magufuli si wa Wanadamu,bali ni wa Mungu.
Kama atajikita umaliziwadi wa mchakato wa katiba pendekezwa utamgharimu magufuli sana. Labda awahakikishie watanzania kwamba ataanza mchakato kwa kuheshimu naoni ya tume ya jaji warioba.
Kangi Lugola na Deo Filikunjombe