francismihiga
Member
- Jul 11, 2015
- 19
- 4
Ndugu zangu Mimi naona kwa hali ilivyo ccm lazima wamkabidhi lowasa ndeye ampigie debe ili kukinusuru chama na mgawanyiko .
teh teh teh, richmond je? anaweza akampakaza mgombea kwa shombo lake la richmond na kuwa na marafiki mafisadiNdugu zangu Mimi naona kwa hali ilivyo ccm lazima wamkabidhi lowasa ndeye ampigie debe ili kukinusuru chama na mgawanyiko .
Njia na Mawazo ya Wanadamu ni tofauti na Utendanji wa Mungu.Uteuzi wa Dk.John Magufuli si wa Wanadamu,bali ni wa Mungu.
Tatizo watu wamelogwa na CCM sioni huyu kama atatutoa tulipo
natamani nikutukane ila naogopa ban. %7*<*%$$$Q**&^%Njia na Mawazo ya Wanadamu ni tofauti na Utendanji wa Mungu.Uteuzi wa Dk.John...ni wa Mungu.
Kama atajikita umaliziwadi wa mchakato wa katiba pendekezwa utamgharimu magufuli sana. Labda awahakikishie watanzania kwamba ataanza mchakato kwa kuheshimu naoni ya tume ya jaji warioba.
Vuta picha umelala mida Ya alfajiri hivi... Usingizi ule wa kukesha jana yake, halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi. Ile unaamka na hasira zako kwenda kumfungulia unajikwaa kidole cha mwisho cha mguu ktk kona ya kitanda ile ndiiii.. kugeuka unaparamia ndoo za maji yanamwagika. mara unateleza ktk yale maji unaangukia meza unaangusha tv, deki na ww chini mara waya wa umeme unakupiga short mgongoni unafika mlangoni na maumivu ya kidole na uchovu + hasira+hasara na short juu unakutana na jamaa anakwambia Nagawa kadi za CCM!
UTAFANYAJE!?
Utashangaa, kukunya uso na kusema "ghaaaaaaa!!" na kusonya tu kwa nguvu na kubamiza mlango nyumaVuta picha umelala mida Ya alfajiri hivi... Usingizi ule wa kukesha jana yake, halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi. Ile unaamka na hasira zako kwenda kumfungulia unajikwaa kidole cha mwisho cha mguu ktk kona ya kitanda ile ndiiii.. kugeuka unaparamia ndoo za maji yanamwagika. mara unateleza ktk yale maji unaangukia meza unaangusha tv, deki na ww chini mara waya wa umeme unakupiga short mgongoni unafika mlangoni na maumivu ya kidole na uchovu + hasira+hasara na short juu unakutana na jamaa anakwambia Nagawa kadi za CCM!
UTAFANYAJE!?
Duh, hataree!Njia na Mawazo ya Wanadamu ni tofauti na Utendanji wa Mungu.Uteuzi wa Dk.John Magufuli si wa Wanadamu,bali ni wa Mungu.
kiama cha wenye malori yanayoharibu barabara za magufuli sasa kimewadia, hasa kama atamteua Mwakyembe awe waziri mkuu wake na Filikunjombe kuwa waziri wa ujenzi.
Kinana s obvious