Nani atalipa damu za watu hawa?

Ndesamburo, a loser Dr Slaa, Lema, Mbowe, hawa wamechangia kupoteza maisha ya vijana wetu.
Mwezi ujao wamewambia vijana wajitokeze tena kwenye maandamano wakavamie ofisi za Manispaa ya Arusha
wameshindwa sasa wanataka nchi isitawalike yani ni akili za kiadui kabisa, wanataka umaarufu kutoka kwenye damu ya watanzania. Hii inatoka na wao kuhusika na ujambazi ndio maana roho ya mtu ni kitu cha kawaida kabisa.

Wakae wakijua safari hii ni damu yao wao sio ya vijana wetu.
 
Sio lazima kuanzisha thread, maana issue yenyewe haina maana. Waliokufa wahuni walikuwa mtaji wa kisiasa ili Josephine na Slaa waendelee kulamba 7.2M.
 
wameshindwa sasa wanataka nchi isitawalike yani ni akili za kiadui kabisa, wanataka umaarufu kutoka kwenye damu ya watanzania. Hii inatoka na wao kuhusika na ujambazi ndio maana roho ya mtu ni kitu cha kawaida kabisa.
Wakae wakijua safari hii ni damu yao wao sio ya vijana wetu.
Viongozi wa CDM mikono yao imejaa damu, wanachotaka vijana wetu wafe wapate mtaji wa kisiasa
 
Back
Top Bottom