Nani ataichagua CCM?

Nani ataichagua CCM?

Nchii hii ina watu na viatu, ni viatu tu ndivyo vitakavyo ichagua tena CCM.
 
Mimi na wewe, pamoja na wasiokuwa wachagga, na UKAWA original. CCM itashinda nyie mko wachache.


Ukiangalia kwa jicho LA tatu wafuasi wengi Wa ccm wapo kama mazombi vile halafu wanapenda zile taarabu zenu za TOT
 
watu wengi huwa hawaoni haraka ndiyo sababu wanaichagua CCM so watanzania tuzidi kuomba tu kwa Mungu tuonyeshwe uhalisia uko wapi ilahata hivyo mimi na nyumba yangu tutamchagua LOWASA
 
Hivi kweli wapanga kampeni wa ccm hawajui kama mgao wa umeme unamharibia mgombea wao. Au ndio wameamua tu kumtoa sadaka mzee wa watu asipate kura hata asilimia kumi

Kuna issue zingine nizakiufundi sio kisiasa mzee
 
Uloi nga mâché68;14038527 said:
Ni wasiojielewa tu watawapigia kura hao wababaishaji wa UKAWA!
Ccm mnaharisha mbaya ukawa juuuuu
 
Mimi na familia yangu, tutamchagua LOWASA AWE RAIS. Rasilimali nizetu wote iweje mfaidi nyie wachache? Siwapendi sisiem!
 
Uloi nga mâché68;14038596 said:
Hicho chama cha kikabila, kidhehebu na kikanda kamwe hakiwezi kupewa NCHI. CCM forever!

nchi kama tanzania ukiwa na chama cha kikanda,kidhehebu na kikabila maana yake utakuwa umegusa kama robotatu ya watanzania.
mfano
mkazi wa shinyanga anaweza ataungana na wasukuma. lakini yawezekana yeye mnyakyusa hivyo utakuwa na ushirika na watu wa mbeya. kumbe huyu mkazi ni mwislamu wa Zanzibar na wapani ni wengi waislam. wow long chain.
 
Ukijua kirefu cha CCM utajua upige wap kura labda niwe sijielew mchanaaa najielwa siwez aisee mtt akikua akijitegee tutunge mimba nyingine tu
 
Hamna atakaechagua ccm mwaka huu tunakula Pesa zao tuu.kura kwa lowasa
 
Back
Top Bottom