Mbona hoja inajitosheleza mkuu.hujaeleweka bado...
Nawasubiri sasa njoooni.
mbona ninazichanga ziwe kama za mgodini
Mbaya zaidi wanawake wa siku hizi hutumia kigezo hicho kumkubali mwanaume. kweli inasikitisha sana. Sasa mdau unafikiri ni kwa nini siku hizi hali imekuwa hivi?????
Hawa wa mjini au unaongelea wadada gani???!!!!
Asilimia kubwa ya wenye hela washamba na wasiokubalika kwa vigezo vya wanawake wengi huishia kuhudumia,kujenga na kutoa mtaji lakini demu ataendelea kumegwa na "handsome" wa chaguo lake na kuzaa wanazaa!!!!
Kalaga baho muyangu!!!!!
They say money can buy you all but love and true hapiness!!!
Zichange, zikijaa nitafute.
Mjini Pesa,
Nguvu na Uzuri peleka kijijini kwenu.