kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 424
Habari ya kuamka wanajamvi, ningependa kujua ni nani huwa anahusika kutoa majina ya hivi vimbunga? Mf kimbunga Keneth?
mara nyingi huwa wale wale WATOA MAJINA!Habari ya kuamka wanajamvi, ningependa kujua ni nani huwa anahusika kutoa majina ya hivi vimbunga? Mf kimbunga Keneth?
Aliekigundua na kukitabiri ndiye hukipa jina kimbunga.Habari ya kuamka wanajamvi, ningependa kujua ni nani huwa anahusika kutoa majina ya hivi vimbunga? Mf kimbunga Keneth?
Kanywe supu utoe lokimara nyingi huwa wale wale WATOA MAJINA!
Imagine mtu anagundua kimbungaAliekigundua na kukitabiri ndiye hukipa jina kimbunga.


, hivi wazungu wanakuwaga sawa kweli wakati mwingine!!!!!
😂😂😂😂😂😂vingi vina majina ya kike itakuwa wagunduzi wanafananisha madhara yake na usumbufu wa wake zao. ndo maana unasikia katrina mara magdalena nk
vingi vina majina ya kike itakuwa wagunduzi wanafananisha madhara yake na usumbufu wa wake zao. ndo maana unasikia katrina mara magdalena nk





Kuna kundi la wataalamu liitwalo kamati ya vimbunga ndo hutoa majina yakeHabari ya kuamka wanajamvi, ningependa kujua ni nani huwa anahusika kutoa majina ya hivi vimbunga? Mf kimbunga Keneth?
vingi vina majina ya kike itakuwa wagunduzi wanafananisha madhara yake na usumbufu wa wake zao. ndo maana unasikia katrina mara magdalena nk





























umetisha kakaWe ndio umemaliza kila kituvingi vina majina ya kike itakuwa wagunduzi wanafananisha madhara yake na usumbufu wa wake zao. ndo maana unasikia katrina mara magdalena nk