Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 589
- 278
Ok shukrani lakini sasa hapo huoni unakiuka msimamo wa chamachako? Na huo msimamo wako si ndio ule wa ‘mkataba' wa Maalim.?Mimi nnapendelea kila nchi iwe na himaya yake kamili, kila mmoja afahamu mipaka yake, utaifa wake, uzalendo wake, haki zake, mapato yake, tamaduni zake. Si kulazimishana.
Ningependela Serikali mbili zenye mkataba wa Muungano.