Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 11,348
- 17,882
Umeongea vema.Mkuu wewe unacheza na kichapo cha Mungu, huyo Kikwete mnaejifanya kumsifia sasa hivi si mlimchukia mkamchafua kweli mpaka Mungu akakasrika akaamua kutoa adhabu ya maana mpaka saa hizi watu wanaomba po!
Acheni malalamikolalamiko ya kukufuru mwisho wa siku tutakuja kuletewa mtu ambae atataka tuwe tunalala kuanzia saa tisa hakuna kuzurula mtu nje, Mungu hua hapend malalamiko yasiyokua na tija.
Hata Kikwete mwenyewe sasa hivi atakua anatucheka kweli, tulijifanya hatutaki mbichi hizi sasa tumeletewa mbivu, na tukijifanya kuendelea kulalamika tutakuja kuletewa zilizoiva mpaka zimeoza.
Mimi niliomba aje raisi dikteta kidogo naona Mungu amenijibu sala zangu.
Silalamiki nakipata nilichotamani.
Ukweli nilitanani mtu wa aina yake huenda nchi ikabadilika kidogo.