Sasa hio siyo tatizo la entertainment industry bali ni tatizo la serikali yako kutotengeneza mfumo rasmi wa kuwafanya hao vijana walipe kodi. Na hata kama hawalipi kodi ya paye hao vijana bado vipato wanavitumia kununua bidhaa amabzo zina VAT ambayo nayo ni kodi kwa serikali. Bado wanapata vipato ambavyo vinawafanya wasiwe tegemezi na kuwa mzigo kwa familia maana Afrika hatuendelei kwakuwa unakuta mtu ana ajira lakini ana mzigo wa watu tegemezi wengi.V
Vijana gani hao waliojiajiri ambao hawalipi kodi serikalini ?zaidi ya kuchezesha nyimbo za kipuuzi tu zisizokuwa na maana kwa kupanua jamii kimawazo mmeamua kutumia elimu duni ya vijana wetu kuwaibia watanzania maskini kwa matamasha yenu .Ipo siki serikali itashtula na itayafungie tu .Radio zetu zinakesha kutangaza matamasha badala ya kukesha kuhamasisha ushindani kwenye elimu na hata biashara
Kodi zetu zifanye kazi gani sasa..Hivi huu upuuzi wa matamasha kwa nini badala ya matamasha ifnyike harambee kwa ajili ya kuchangie elimu na afya?.inasikitisha serikali bado inavumilia huu upuuzi wa matamasha.
Ndiyo burudani yenyewe hiyo hao vijana uzuri hawaja kuomba kiingilio ina maana wamefanya kazi mwisho wakalipa kiingilio kurelax. Wewe umefanya nini mbona hujaanzisha redio au harambee ya kuchangia elimu uko hapa unalalamika wengine waanzishe? Toka nje ya box fikiria kwa upana hiki kiwanda cha michezo na burudani ni kiwanda chenye uwigo mpanda kinaajiri vijana na watu wengi na ni kiwinda ambacho kikisimamiwa vizuri na kusaidiwa na serikali itapata mapato mengi na watu wengi watabadirisha maisha. Entertainment industry kwa nchi za wenzetu inaingiza ela nyingi sana, music, hollywood, NBA, ligi ya american football, hata wachina now wamewekeza sana kwenye michezo na burudani huko kwao.K
Kukusanya wajinga kwenye matamasha yanayopiga nyimbo za mapenzi tu ndio taaluma ?
Nani alikwambia sio vya Diamond?Nani aliyekwambia Wasafi Festival na Wasafi FM/TV ni vya Diamond?
we unachotaka ni nini ?Kwa hiyo kuharibu vijana vs kutoa ajira ni kipi Bora?
Si jukumu langu kukueleza nimefanya nini bali ni jukumu langu kukemea uovu wote unaofanywa na haya matamashi kwa kisingizio kuwa ni burudani ,burudani gani hiyo asilimia tisini nyimbo ni za matumsi tu?Sasa hio siyo tatizo la entertainment industry bali ni tatizo la serikali yako kutotengeneza mfumo rasmi wa kuwafanya hao vijana walipe kodi. Na hata kama hawalipi kodi ya paye hao vijana bado vipato wanavitumia kununua bidhaa amabzo zina VAT ambayo nayo ni kodi kwa serikali. Bado wanapata vipato ambavyo vinawafanya wasiwe tegemezi na kuwa mzigo kwa familia maana Afrika hatuendelei kwakuwa unakuta mtu ana ajira lakini ana mzigo wa watu tegemezi wengi.
Kuna TBC radio ndiyo kazi yake hizi redio ni redio za watu binafsi na zimeanzishwa kwa marengo tofauti usiforce mambo. Halafu wewe hapo zaidi ya kulalamika umefanya nini kati ya hayo unayosema ili wengine waige? Au wewe hufai kufanya hayo inabidi wafanye wengine?
Haya matamasha yapigwe marufuku kwa maana hayajengi kizazi kijacho bali ni kubomoa kizazi kuanzia fikra hadi maadliliwe unachotaka ni nini ?
Ndio kizazi tulichonacha kwa sasa ,huu ubishi wa namna hii unaleta tija gani?Nani alikwambia sio vya Diamond?
Sasa kama siyo jukumu lako kutueleza ulichofanya basi siyo jukumu lao kufanya harambee za elimu. Fanya wewe burudani waachie wafanye wao siku wakijisikia kuhamia kwenye elimu watahama usipangie watu vya kufanya maana hawajakuomba mchango wakat wa kufanya hivyo.Si jukumu langu kukueleza nimefanya nini bali ni jukumu langu kukemea uovu wote unaofanywa na haya matamashi kwa kisingizio kuwa ni burudani ,burudani gani hiyo asilimia tisini nyimbo ni za matumsi tu?
Lazima utakuwa na tatizo la akili si bure,hivi unawezaje kufananisha entertaiment industry ya usa na ya Tanzania?ulishawahi hudhuria tamasha hapa USA ?Ndiyo burudani yenyewe hiyo hao vijana uzuri hawaja kuomba kiingilio ina maana wamefanya kazi mwisho wakalipa kiingilio kurelax. Wewe umefanya nini mbona hujaanzisha redio au harambee ya kuchangia elimu uko hapa unalalamika wengine waanzishe? Toka nje ya box fikiria kwa upana hiki kiwanda cha michezo na burudani ni kiwanda chenye uwigo mpanda kinaajiri vijana na watu wengi na ni kiwinda ambacho kikisimamiwa vizuri na kusaidiwa na serikali itapata mapato mengi na watu wengi watabadirisha maisha. Entertainment industry kwa nchi za wenzetu inaingiza ela nyingi sana, music, hollywood, NBA, ligi ya american football, hata wachina now wamewekeza sana kwenye michezo na burudani huko kwao.
watu wote hawawezi kuwa wanasheria, wahasibu, madaktari nakadhalika hiyo haiwezekani hata kale ndiyo maana watu wote walikuwa hawawezi kuwa wanajeshi, watawala kulikuwa na wahunzi wachuzi n.k.
Unajua kabisa hauna tija na bado unauliza!!!Ndio kizazi tulichonacha kwa sasa ,huu ubishi wa namna hii unaleta tija gani?
Wewe ndiyo una tatizo ndiyo maana nimekwambia ni kazi ya serikali kuijengea entertainment industry ya Tanzania mfumo rasmi ili hao waliomo walipe kodi, huwezi kulipa kodi kama serikali haijakudai hiyo kodi. Na narudia vipato vyao wanavitumia kununua bidhaa na huduma ambazo zina VAT bado serikali inanasa kodi toka kwao kwa upande mwingine japo inakosa PAYE. Halafu kwa kuongeza ni kwamba kuna wasanii wanalipa kodi hiyo ya PAYE mfano diamond juzi alisema akipiga show akalipwa 170 million TRA hawakosi kodi ya 48 mls na aliandika wakati ana waadress BASATA na TRA hawakupinga hilo.Lazimq
Lazima utakuwa na tatizo la akili si bure,hivi unawezaje kufananisha entertaiment industry ya usa na ya Tanzania?ulishawahi hudhuria tamasha hapa USA ?
Wewe umechangia shingapi kwenye elimu na afya?Hivi huu upuuzi wa matamasha kwa nini badala ya matamasha ifnyike harambee kwa ajili ya kuchangie elimu na afya?.inasikitisha serikali bado inavumilia huu upuuzi wa matamasha.
mbona wanajenga steji za kufanyia matamasha ?Haya matamasha yapigwe marufuku kwa maana hayajengi kizazi kijacho bali ni kubomoa kizazi kuanzia fikra hadi maadlili
[emoji2] [emoji2] [emoji119]Bila shaka itakuwa ni ya baba yako.
Huna jipya zaidi ya chuki ...Mnaishi kwa kiki,zimeisha hadi mmeanza kumtumia dudu baya,kufananisha wasafi na clouds ni umama,wasafi ndo wanaanza safari,clouds ni habari nyingine
WCB wale madogo wapo vizuri mtu anayewachukia labda chuki binafsi au mahaba ya mtu flani over