comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Kubadilika badilika kwa mifumo ya elimu nchini bado kunarudisha nyuma elimu yetu ubora wa sera ya elimu Tanzania haujawahi kutulia miaka ya 2015,2026 tumeshuhudia vihoja vingi katika elimu yetu matamko ya kupandisha viwango vya kujiunga na vyuo vikuu, mara utaratibu wa kujiunga na vyuo vikuu, mara kupandisha GPA na matamko ya kukanusha, mara kubadilika kwa mitaala, vilevile miaka ya kukaa shule ya msingi.