Nani anatakiwa kuwa replaced na nani?

Nani anatakiwa kuwa replaced na nani?

Upekuzi101

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
478
Reaction score
1,025
Let's assume kuwa SSH ana nia ya dhati ya kuiletea maendeleo Tanzania na anataka kumantain speed ya utekelezaji wa miradi kama kipindi cha mwendazake ila anakwamishwa na wasaidizi wake ikiwemo mawaziri, ukizingatia mama ni mtu wa madaftari mambo ya field hata hajui. Unadhani waziri gani anapaswa kuachia ngazi na nani kuchukua nafasi yake. Mimi nikianzia na:

1. January Makamba out - Kalemani in

2. Mwigulu Nchemba out- Charles Kimei in

Ongeza list yako na wewe.....
 
Seriously sijaona... Yaani ni sawa na gagulo kuukuu lililochoka unatoa kiraka kibovu unapachika kibovu tena
 
Mimi naona yeyote mwenye uwezo awekwe/apewe nafasi ila tu asiwe Sukuma gang basi
 
Nani amtoe Mwigulu sasa🤔
Nadhani wapo wachumi wazuri katika Baraza la Mawaziri la sasa atafutwe mmoja wao.

Ikishindikana waende ndani ya Bunge ikiwa ngumu anyofoe nje ya mfumo kabisa.
 
Mama anasubiri kuletewa majina ya watu na waletaji ndo wale wale. Labda kuwe na mfumo kidogo utaowahusisha watu wasiofungamana na upande wowote kisiasa au kimimaslahi kupendekeza watu kwa kuzingatia ufanisi wao kule walipo, bila kuangalia PhD ambazo tumezingundua ni nonsense
 
As long as ni wana-©©M, hakuna mabadiliko watayoleta hapo wala hata sababu ya kubadilishana haipo.
 
Issue siyo nani awe replaced na nani..

Issue ni MFUMO WETU WA AJIRA HIZI NA UTUMISHI WA UMMAH KWA UJUMLA UNA MAPUNGUFU.... Nadhani kwanza tungeanza na kufanya yafuatayo:

1. Mawazi wawe wanapendekezwa na RAIS kuwa approved na bunge kwa kuhojiwa na kamati husika LIVE na kuidhinishwa na MKUTANO MKUU WA BUNGE.

2. Kamati husika za BUNGE/Bunge liwe linapata nafasi ya kuwahoji mawaziri kwa maswali ya papo kwa papo ili kuwafanya kuwa WATENDAJI na wafuatiliaji wa majukumu yao na BUNGE LIWE NA NAFASI YA KUWAWAJIBISHA.

3. Mawaziri wasiwe wabunge wa kuchaguliwa ili kuwafanya kujikita zaidi kwenye majukumu yao na sii kuanza kuwaza MAJIMBO yao kitu kinachosababisha kukosa ufanisi katika majukumu yao.

4. Akithibitika Waziri ame-underperform anatenguliwa na mshahara unakoma na kiinua mgongo kitategemea alichochangia na muda wa utumishi wake[yaani inaunganishwa na michango MINGINE ya kabla au baada]

5. Kuwe na Utamaduni wa mawaziri kila baada ya miezi 6 kufanya press conference na kutoa taarifa ya utekelezaji wa wizara zao na kujibu maswali ya waandishi wa HABARI ili kujua utendaji wao na wawe rated kulingana na alivyoperform.
 
Lakini yote hii ni KAMA
 
Back
Top Bottom