Dada yangu kipenzi Heaven on earth ulipouliza kwa nini mwanamke asipewe ahsante wakati anajishughulisha, mimi nikauliza je kwa wale wanawake ambao hawajishughulishi kwa maana ya kumuachia mwanamme kila kitu tena nikatoa mfano wengine wanasoma magazeti, jenao wanastahili ahsante?
Hapo nafikiri wewe na King'asti niliwaacha kidogo. Nilimaanisha hivyo, sasa naomba mnisaidie jibu.