Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,684 Sep 27, 2009 #1 Wakuu poleni na shughuli...kuna tetesi nimezipata kuwa jkt imerudishwa tena ..kama ni kweli walengwa watakuwa ni kina nani?yaani hapa nataka kujua walengwa ..wanaomaliza form six?au chuo kikuu?
Wakuu poleni na shughuli...kuna tetesi nimezipata kuwa jkt imerudishwa tena ..kama ni kweli walengwa watakuwa ni kina nani?yaani hapa nataka kujua walengwa ..wanaomaliza form six?au chuo kikuu?
GP JF-Expert Member Joined Feb 5, 2009 Posts 2,049 Reaction score 162 Sep 28, 2009 #2 chuo kikuu, na ajira zitakua zinapitia huko huko JKT.
Gudboy JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 867 Reaction score 82 Sep 28, 2009 #3 walengwa ni form six watakaoanza na zoezi hili ni wale watakao maliza mwezi wa pili mwakani