Mkuu bado tu hajarudi?Ngoja nijaribu kumshika HG wangu mbele ya My wife wangu!! Nawapa feedback soon. Ngoja arudi job
yuko kwenye foleni bado halafu anapitia kwenye mkesha wa maombi etiMkuu bado tu hajarudi?
yuko kwenye foleni bado halafu anapitia kwenye mkesha wa maombi eti
Itakuwa anapitia kwa Gwajima!
kweli miss neddy....? nije pembeni....? tangulia ukifika niambie!kabanga njoo nikufundishe
kweli miss neddy....? nije pembeni....? tangulia ukifika niambie!
mhhhhhhhh too late kabanga nimevunja mkatabapembeni mazoezi, unataka waibe mbinu zangu....?